Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
 
Sio vita ya kidini lakini ile. Wala wazungu sio washika dini kivile

Nadhani labda ungeliangalia kwa mtazamo wa 'race' zaidi kuliko wa dini
Kwamba miaka ya karibuni imezoeleka waafrika na Waarabu ndio wanapigana mara nyingi, ila sasa wazungu nao wanapigana
Lakini Sio jambo la kufurahia, vita yoyote ile sio ya kuchekelea
 
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Ile sio jihadi au is jamaa..kule ni urusi anataka atanue mipaka yake kiuchumi...

Hakuna wavaa suicide vest huko..wazee wa kutamka jina ili wakapewe mbususu 72.

Jifunze kutofautisha hayo.

Wakristo ni dini ya upendo haki na amani kwa wote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Daa sema moderator wawe wanatoa test kwanza ya akili kabla ya kuposti nyuzi🥲
 
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Usijali hata wao wana uwakilishi mzuri kwenye hii vita kupitia kikosi cha Wachechen chini ya Ramzan Kadyrov
 
Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Cruder ilikuwa reaction ya Wakritu dhidi ya Waislam baada ya wao kuteka maeneo ya nchi takatifu. Nothing else
 
Mkurugenzi wa JF kwa sasa inambidi aweke ma great thinkers kwa ajili ya kupitia thread kabla ya kuziachia jukwaani, kwa maana....
 
Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Kwa hiyo mmeamua kuiga?wazee wa copy and paste igeni mazuri basiii.
 
Ile sio jihadi au is jamaa..kule ni urusi anataka atanue mipaka yake kiuchumi...

Hakuna wavaa suicide vest huko..wazee wa kutamka jina ili wakapewe mbususu 72.

Jifunze kutofautisha hayo.

Wakristo ni dini ya upendo haki na amani kwa wote.

#MaendeleoHayanaChama
Kuna muda huwa una akili na Kuna muda unakua kitoko-lolo
 
Kwa hiyo mmeamua kuiga?wazee wa copy and paste igeni mazuri basiii.
Hiki unachoniambia Inahusiana na nini na nilichomjibu mwenye comment hiyo!!?? Kuwa na akili timamu basi usijichetue kwanza crusade war ilitokea kuanzia 1095 mpk 1291 wakati ambapo uislamu ulikuwa umeshashamiri na mtume Mohammad(S.AW) ameshafariki miaka mia nyuma
 
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Hujawahi kuwa na akili.
 
Back
Top Bottom