Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

Nilivyoona heading nikajua ni mada inayohusu tz kuhusu viongozi muhimu wa nchi wengi kutoka dini moja,kumbe mada inahusu huko Ulaya.
 
Kweli wewe Copenhagen una "maghayo"[emoji1787]
 
Mjinga ni wewe,unayeiamini gugo kwa kila kitu.Yaani kwa akili yako ndogo ulivyogugo ukajiona una bonge la Elimu?!!.
Reference ya google nimekuwekea wewe mjinga usiyeenda shule upate elimu,mambo hayo mimi nilishayasoma secondary huko mwaka 1996 ndio nilijua Crusade war..kazi kwako debe tupu
 
Reference ya google nimekuwekea wewe mjinga usiyeenda shule upate elimu,mambo hayo mimi nilishayasoma secondary huko mwaka 1996 ndio nilijua Crusade war..kazi kwako debe tupu
Kidato cha ngapi ulisoma hayo wewe lofa??.
 
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Unajua hata hiyo vita inahusu nini lakin?..[emoji23][emoji23]

Hiyo vita wanapana dini zote.. yani kusema ni ya kidini unakuwa umefeli sanaa

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Sio vita ya kidini lakini ile. Wala wazungu sio washika dini kivile

Nadhani labda ungeliangalia kwa mtazamo wa 'race' zaidi kuliko wa dini
Kwamba miaka ya karibuni imezoeleka waafrika na Waarabu ndio wanapigana mara nyingi, ila sasa wazungu nao wanapigana
Lakini Sio jambo la kufurahia, vita yoyote ile sio ya kuchekelea
uzi ufungwe
 
Hii vita ni ya putin dhidi ya Ukrein .Na wala hakuna itikadi za ukristo baina ya wazungu .Hii vita mtu mmoja akitolewa (putin)tu Hatasikia mapigano miongoni mwa wazungu kwa wazungu
 
Mzuka wanajamvi!

Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.

Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Bado nakutafakari kama ni wewe au Kuna mtu amehuck ID yako
 
Back
Top Bottom