Umeufunga Uzi Kibabe.Sio vita ya kidini lakini ile
Ile sio jihadi au is jamaa..kule ni urusi anataka atanue mipaka yake kiuchumi...Mzuka wanajamvi!
Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.
Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Bwana Johnny Sack hili jibu huyu mtoa mada bwana Maghayo asipolielewa, atakuwa wa kupimwa....Sio vita ya kidini lakini ile
Lakini damu za watu zinamwagika na wengine hawana hatia.Sio vita ya kidini lakini ile
Jitu likikomaa kwenye ukafiri huwa na maneno na akili kama yako .Dah,
Madhara ya kukomaa na elimu Akhera tu...
Ndio haya hapa
Kibwetere aliwachoma waumini wake hapo Uganda kwenye masuala hayo ya imani ya kikristo.Hakuna mkristo aliewai kuua kwa ajiri ya kristo. Ila kuna
Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hiiHakuna mkristo aliewai kuua kwa ajiri ya kristo. Ila kuna
Usijali hata wao wana uwakilishi mzuri kwenye hii vita kupitia kikosi cha Wachechen chini ya Ramzan KadyrovMzuka wanajamvi!
Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia.
Sasa ni zamu yetu sasa hivi huko Ukraine tunachinjana kama hatuna akili nzuri tena Wagalatia wa orthodox wenyewe kwa wenyewe.
Cruder ilikuwa reaction ya Wakritu dhidi ya Waislam baada ya wao kuteka maeneo ya nchi takatifu. Nothing elseHuujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Kwa hiyo mmeamua kuiga?wazee wa copy and paste igeni mazuri basiii.Huujui ukristo!!,hujui chochote kuhusu crusade war that sponsored by pope!!,nenda kajifunze kuhusu crusade war halafu uje ufute comment yako hii
Kuna muda huwa una akili na Kuna muda unakua kitoko-loloIle sio jihadi au is jamaa..kule ni urusi anataka atanue mipaka yake kiuchumi...
Hakuna wavaa suicide vest huko..wazee wa kutamka jina ili wakapewe mbususu 72.
Jifunze kutofautisha hayo.
Wakristo ni dini ya upendo haki na amani kwa wote.
#MaendeleoHayanaChama
Hiki unachoniambia Inahusiana na nini na nilichomjibu mwenye comment hiyo!!?? Kuwa na akili timamu basi usijichetue kwanza crusade war ilitokea kuanzia 1095 mpk 1291 wakati ambapo uislamu ulikuwa umeshashamiri na mtume Mohammad(S.AW) ameshafariki miaka mia nyumaKwa hiyo mmeamua kuiga?wazee wa copy and paste igeni mazuri basiii.
Hujawahi kuwa na akili.Mzuka wanajamvi!