Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

Nilivyoona heading nikajua ni mada inayohusu tz kuhusu viongozi muhimu wa nchi wengi kutoka dini moja,kumbe mada inahusu huko Ulaya.
 
Kweli wewe Copenhagen una "maghayo"[emoji1787]
 
Mjinga ni wewe,unayeiamini gugo kwa kila kitu.Yaani kwa akili yako ndogo ulivyogugo ukajiona una bonge la Elimu?!!.
Reference ya google nimekuwekea wewe mjinga usiyeenda shule upate elimu,mambo hayo mimi nilishayasoma secondary huko mwaka 1996 ndio nilijua Crusade war..kazi kwako debe tupu
 
Reference ya google nimekuwekea wewe mjinga usiyeenda shule upate elimu,mambo hayo mimi nilishayasoma secondary huko mwaka 1996 ndio nilijua Crusade war..kazi kwako debe tupu
Kidato cha ngapi ulisoma hayo wewe lofa??.
 
Unajua hata hiyo vita inahusu nini lakin?..[emoji23][emoji23]

Hiyo vita wanapana dini zote.. yani kusema ni ya kidini unakuwa umefeli sanaa

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
uzi ufungwe
 
Hii vita ni ya putin dhidi ya Ukrein .Na wala hakuna itikadi za ukristo baina ya wazungu .Hii vita mtu mmoja akitolewa (putin)tu Hatasikia mapigano miongoni mwa wazungu kwa wazungu
 
Bado nakutafakari kama ni wewe au Kuna mtu amehuck ID yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…