Je maiti Yako au ndugu zako ungependa zichomwe auHuu utaratibu wa kupaka maiti dawa ili ikae hata wiki ni wa ajabu sana.
Kwanini tusiiache maiti kama ilivyo izikwe.
Jua kutofautisha mafuta ya maiti na mafuta ya kawaidaWatu wakiwa hai wanajipaka kila aina ya mafuta ngozi iwe sawa ila wakifa hawataki.
Hakuna mtu aliepakwa chochote kwenye biblia ili mwili wake usiozeMkuu naomba kifungu Cha Biblia kinachopinga hayo mambo
Kazi ni ile ile. Kutunza.Jua kutofautisha mafuta ya maiti na mafuta ya kawaida
Chumvi Chumvi ChumviUvingstone walitumia njia gani kumuhifadhi?
Tusiringe sasaMtu unakuwa mzuri ukiwa hai tu ukifa uwii unanuka na kunuka balaaa yaan hatuna maana kabisa
Nawashangaa hata wanaooga. Kuoga na kuondoa uvundo wa jasho ni kumkufuru MuumbaHapo zamani kabla ya ugunduzi wa dawa za maiti za kuchelewesha kuoza na kukata shombo la kuoza, watu walikuwa wanazikwa kawaida.
Hii dawa huwa ina kemikali nyingi sana ili kufanya maiti isioze haraka.
Ni vema kukubaliana na uumbaji kwamba kwa jinsi tulivyoumbwa kwamba mtu akifa anaanza kuoza na kunuka, kumchakachua aoze taratibu na kukata shombo kwa kuchelewesha mazishi ni kumkosoa muumbaji.
Kwanini tusiiache maiti kama ilivyo izikwe.
Ni vyema ukaweka hayo maandiko yanayosema kwamba mtu akifa maiti isiwekewe dawa ya kuhifadhiWakristo tuna maoni gani kwenye kutumia dawa za kufanya maiti isivunde haraka ili ichelewe kuzikwa kinyume na maandiko ?
Si umesema ni kinyume na maandiko, leta basi hayo maandiko ili tukione kinyume chake kinachofanyikaHakuna mtu aliepakwa chochote kwenye biblia ili mwili wake usioze
Na hizi dawa zimeanza kugunduliwa miaka ya mbele kabisa, hapo zamani ilikuwa mtu anazikwa kabla hajaanza kutoa harufu