Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Soma kitabu cha Mwanzo sura ya 50, hapo utaona namna Yakobo alivyofariki akapakwa dawa ya kumfanya asioze....aliombolezwa kwa muda wa siku 70 kabla hajazikwa. yaani maiti ilikaa miezi miwili na siku 10 watu wakiomboleza kabla ya mazishi.
2. Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.
3. Kama kawaida, siku arubaini zilihitajika kwa kazi hiyo. Wamisri nao wakaomboleza kifo cha Yakobo kwa muda wa siku sabini.
4. Baada ya matanga kumalizika, Yosefu akawaambia watu wa jamaa ya Farao, “Ikiwa nimekubalika mbele yenu, tafadhali zungumzeni na Farao kwa niaba yangu kwamba baba yangu aliniapisha, akisema,
5. ‘Mimi karibu nitafariki. Yakupasa kunizika katika kaburi nililojichongea katika nchi ya Kanaani.’ Kwa hiyo namwomba aniruhusu niende kumzika baba yangu, kisha nitarudi.”
Mwanzo 50Biblia Habari Njema (BHN)
1. Hapo Yosefu akamkumbatia baba yake akilia na kumbusu.2. Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.