Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

Waafrika sjui mmelogwa na nani..
Huyo mnae msheherekea kesho hamjui hata tareh yake OG alizaliwa Lin, zaid ya stori za kusadikika, na tukiwauliza kwann mnatuita majina mabaya na kutuona wapinga Kristo[emoji23].

By the way Jesus never existed as real a man, mtadanganywa sana ndugu zangu kwa kushabikia dini ngeni.

Hiyo tareh 25 iliundwa tu na wajanja kwaajil ya kumuazimisha Mungu wa kale aitwae Zeus ama Krishna ama azazel ambaye baadae ndye huyo huyo alietumika kuunda kiumbe kipya kiitwacho Jesus ama yesu christo.

Kiuhalisia Hakuna ushahid wa uwepo wa huyo yesu, tafuta mahala popote pale dunian hutoona Shahid za uyo yesu wenu kuwa aliwahi kuwepo, zaid zaid utaambulia uongo wa kutungwa na mzungu hapo middle east kuwa aliish hapo miaka2000 iliyopita, wakat kiuhalisia miaka hiyo mahala hapo hapakukaliwa na hizo jamii za fake Jews, badara yake ilkuwa ardhi ya waafrika baadae ikaja kuwa ya waturuki na waarabu, sas huyo yesu wenu aliish wap?[emoji23][emoji23][emoji23].

Ukwel unauma sana Tena unauma Kama wew ni mshika dini na ukaambiwa ukwel usioujua, lazma tu utapinga.

Kutumia kitabu Cha biblia Kama reference ya ushahid uo ni upumbavu mkubwa maana biblia ni fiction book ambayo inakuwa updating kila Baada ya muda Fulani ili iendane na jamii ya kipind fulani.

Wakristo&waislam ni wakat wenu wa kujitafakari na kuanza kuchunguza Mambo ya Imani zenu kwa kuhoji na kutafakali hayo mliyokalilishwa na viongoz wenu.

Kuhoji si dhambi, Kuna mengi ndani ya maandiko yenu ambayo Kama yakiwekwa wazi naamini leo hii mtazikimbia izo dini zenu za uongo.

AMKENI!!...Muumba wa kwel hajawai na hatowai shuka dunian na hajawai na hatowai kufanana na mwanadamu kamwe..
huyo ibilisi wenu tokea middle east mtangoja sana kumsubiri na hatorudi ng'oooo kwakuwa hajawai kuwepo.View attachment 2055675
Mbona unateseka waachie wenyewe mambo yao
 
Yesu mwenyewe hakuwa kusali kanisani,Alikuwa anaswali Msitkitini akitumia kitabu cha Musa yaani Torati,ambayo mpaka Leo inatumiwa na waisilamu.
Yaani alitawadha na akasujudu,hakuwa kupiga ishara ya msalaba
 
2645340_Screenshot_20201220-142944.png
 
Back
Top Bottom