Wakristo tunasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi huyo?

Wakristo tunasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi huyo?

Mungu pia ameshauri watu wasioe ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia


1 Wakorintho 7:27-28 inasema

Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi.

Lakini wale wanaooa au kuolewa wajue watakutana na matatizo katika maisha haya, nami nataka kuwaepusha na matatizo hayo.
 
uzuri hajakulazimisha ka huwezi wachaaaa
 
Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke?

Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi na mke sasa ataweza vp kunipatia mke? Mbona ni kitu ambacho haliwezekani?

Busu la Kenge
Kama " Unaamini" na bado unauliza ni Mungu yupi huyo atakayekupatia mke utakuwa na tatizo la Afya ya kiakili !



JESUS IS COMING AGAIN


Get prepared
 
Mke mwema hazaliwi kwa bahati ila hujengwa kwa malezi, nidhamu au Uzoefu wake binafsi.
 
Nahisi anamaanisha Yesu kwamba ndie Mungu
Kwenye Biblia kuna bwana aina 3.
BWANA - YEHOVA
Bwana- Yesu
bwana- bosi, mmiliki wa watumwa n.k
Pale bwana iliyotumika ni hiyo number one ya YEHOVA.
Je, YEHOVA alikuwa single miaka 40?
Hata Yesu hakutimiza miaka 40 katika maisha yake ya ubinadadamu.
 
Back
Top Bottom