sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
NI MPAKA KIFO AMA USALITI PEKEE, NJE YA HAPO NI TAMAA NA MOYO DHAIFU
Ni wakati sasa wakristo tuwe kama nchi ya ufilipino tuzikataze mahakama na makanisa ya mchongo kuvunja ndoa nje ya sababu hizo mbili, kwa wale wataokamatwa wameoa au kuolewa mara ya pili kwa njia za panya wafungwe jela maisha ama kunyongwa UKRISTO UHESHIMIWE
Ndoa haina watoto kwa miaka mitano, mwanaume anakimbilia kuomba ndoa ivunjike kwa kisingizio chake eti wazazi wake wanataka wajukuu, hii ni tamaa, kwani hakuna watoto wasio na wazazi unaoweza kuwa adapt ?
Mwanamke anapigwa makofi mawili matatu anaenda mahakamani kuomba ndoa ivunjike, huu ni udhaifu wa moyo.
Mwanaume mzima analia eti ananyimwa unyuma miaka miwili, anakimbilia mahakamani kuomba ndoa ivunjwe, hii ni tamaa ya ngono,
Mwanamke umeona mmeo kafungwa kifungo cha maisha unataka ndoa ivunjike, hii ni tamaa