Kwenda kwako usiwatishe na kujifanya unajua zaidi kuhusu nchi hizo kupita wengine. Siku hizi mtu anaweza kuwa hapa hapa nchini na akawa well informed kuliko wewe uliyeenda huko. Mfano tu Kuna watu wameenda kusoma huko, lakini wasijue kiingereza vizuri na wanapitwa na watu waliokuwa hapa hapa nchini.
Mm namjua vizuri kupita wewe huyo Humza Yousaf, na nikwambie mkewe ni mtu wa Gaza, chama chake SNP=Wabunge wa SNP hawakuwa na ubaguzi. Pia mayor wa London (Labour) wazungu walimchagua
Sasa wewe nambie nchi zenu za Kiislam, uliisha sikia Kuna Mkiristo anachaguliwa nafasi za huko juu. Palestina wako wakiristo lakini mnawatesa mpaka wanakimbia. Iraq, Yemeni, Jordan, Iran, Pakistan, Malasya, Turkey Indonesia kote huko mnawabagua na kunyanyasa wakiristo.
Waislam mnakera ndiyo maana pale zinapopatikana taarifa za machafu yenu mnayofanya tunayatapika humu mwenye social media