Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?

Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu

Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
utavaa Kila nguo walivaa mababu?
 
Kwa msingi huo basi tuna mashaka pia na dini ya kikiristo kwamba inaamrisha wafuasi wake watembee uchi, wawe huru wavae wanavyotaka, tunaziona picha za mama maria mumeweka huko makanisani alivaa nguo za heshima (hijab) pia picha za yesu huko makanisani pia alivaa nguo za heshima sijuwi munakwama wapi mnavaa nguo za uchi alimradi mwende sambamba na nchi za magharibi na US ilhali Nabii yesu alitokea Middle East - Mashariki ya kati.
 
Ufaransa wanasema ni kwa sababu za kiusalama,
Yemen wanalazimisha watu wavae Hijab kwa sababu gani??
Hijab ni stara kumlinda mwanamke na kumpa heshima umuonapo, sio kutembea uchi kama mulivyo huko kwenu maradhi yameenea mwanamke sasa anavaa jeanz ama shorts na tshirt maungo yake ya mwili yote yanaonekana akitembea, umalaya na maradhi sasa yametapakaa ndio mana watu wanabakwa hamjuwi sababu ni nini eti mnaenda zenu Bejing kudai haki za mwanamke ''nonsense''.
 
Enh Uislam leo mnadhalilisha sio dini ya haki... mnatupigia kelele sana.. mtume wenu alisema Uislam utakuwa mdogo na utarejea kwenye shimo kama Joka na kutokomea... Dini wa Waongo.. without Lies Islams die kama Mende
Weka akiba mkuu usiutukane uislam kwanza, nafkiri kwanza ungetaka kuujua na kuusoma halafu utaleta hayo majibu kama uta prove wrong au kama ni shida pia kuusoma kwako bora kaa kimya. shukran
 
Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?

Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu

Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Hao mungu wao ni The Holy Ghost lile Shetani lisilo na dhambi lilio waletea mathematic formula 1=3 😄

Unadhani hata yanijitambua basi Yesu anawambia hakuna mtu aliwahi muona Mungu wala hata kusikia sauti yake, wanamuona Yesu bwege. Wanamuambia Yesu mbona wewe tumekuona na tumekusikia, sa hawa wazima vichwani hawa.
 
"Stara" ni nini??
Stara inatokana na neno kujisitiri ama kujihifadhi kimwili kutokana na vishawishi ambavyo vinaweza kukusababishia matatizo mbali mbali hasa kwa mwanamke kutokana na maumbile yake naturally.
 
Poyoyo kweli huyo, ujae nchi yenye shherua ba januni zao, halafu wewe ylazinishe zako za kiajabu ajabu, hata hujuwi umezitolea wapi.
. Ujinga huo.
 
Sisi waafrika hatuna manabii wetu waliotokea mashariki ya kati, manabii wetu tulikuwa nao hapahapa Afrika.

Sisi waafrika tutavaa tunavyopenda wenyewe na kamwe hatutaruhusu mtu atoke kwao kuja kutufundisha namna ya kuvaa kwani hatutakubali kurudishwa tena utumwani.

Hivi tunavyovaa tunaamini ndivyo sisi tunavyopaswa kuvaa kulingana na utamaduni wetu hivyo hao wageni waachane na sisi kwani upagazi ulishaisha kitambo.
 
Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?

Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu

Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Hatuvai kwa kufuata watu wa mashariki ya kati walivyokuwa wakivaa au wanavyovaa.

Unapaswa kufahamu kwamba haya mambo ya mavazi, majina nk yanaendana na utamaduni wa watu husika sasa sisi sio watu wa mashariki ya kati ila ni waafrika hivyo tutavaa kulingana na utamaduni wetu na hatutanakili utamaduni wa kigeni kwa kisingizio cha dini na nchi yetu pia sio nchi ya kidini.
 
Kea nini hampendi kuvaa kama bikira Maria!?
 

Attachments

  • FB_IMG_1727106260795.jpg
    36.6 KB · Views: 2
Utamaduni wenu kuvaa vibwaya huku maziwa yakiwa nje
 
nabii wako wa Africa ni nani mkuu lete majina yao na jumla yao wako wangapi? alipata unabii kutoka wapi? alikuja na mafundisho gani huyo nabii wako na alitumwa na nani? lete vitabu vyao hapa ambavyo walikufundisha wewe na mavazi ya mwanamke yatakuwaje hapa ulimwenguni ama huyo utamaduni lete references tafadhali
 
Hakukuwa na rekodi za maandishi ndio maana kumbukumbu ya manabii wetu zilipotea lakini walikuwepo.

Halafu ni kwa nini mavazi ya mwanamke tu je ya mwanamme mbona hamwongelei na hapo kwenye mavazi ndipo mlipoingizwa mkenge. Hakuna Mungu wa ukweli aliyewahi kuwaamulia wanadamu wavaeje, hizo ni propaganda za waarabu tu kudanganya wajinga kama nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…