utavaa Kila nguo walivaa mababu?Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?
Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu
Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utavaa Kila nguo walivaa mababu?Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?
Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu
Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Kwa msingi huo basi tuna mashaka pia na dini ya kikiristo kwamba inaamrisha wafuasi wake watembee uchi, wawe huru wavae wanavyotaka, tunaziona picha za mama maria mumeweka huko makanisani alivaa nguo za heshima (hijab) pia picha za yesu huko makanisani pia alivaa nguo za heshima sijuwi munakwama wapi mnavaa nguo za uchi alimradi mwende sambamba na nchi za magharibi na US ilhali Nabii yesu alitokea Middle East - Mashariki ya kati.Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇
Wakristo wa kusini-magharibi mwa Arabia, na hasa katika Aden, mji wa bandari ulioko Yemen, wana historia yenye mizizi iliyoanzia karne ya nne. Licha ya mateso kwa karne nyingi, imani ya Kikristo iliendelea kustawi na kupanuka, na kuwa dini iliyoenea zaidi Aden kabla ya ujio wa Uislamu. Lakini kutokana na kuongezeka kwa mawazo ya kidini yenye msimamo mkali, Wakristo walio wachache huko wamepitia magumu.
Badr, mwanamke Mkatoliki wa Yemen aliyezaliwa katika miaka ya 1980 na anayeishi Aden, alizungumza hivi majuzi kuhusu masaibu ya Wakristo huko na ACI Mena, mshirika wa habari wa CNA wa lugha ya Kiarabu.
Akitaka kutotajwa jina, alieleza hivi: “Sikutambua kwamba sisi, tukiwa Wakristo, tulikuwa wachache hadi nilipofika shule ya sekondari. Huko, nilipata changamoto kali zinazohusiana na imani yangu na kupoteza haki zetu.”
“Tulilazimishwa kuvaa hijabu,” aliiambia ACI Mena. “Serikali ilitukataza rasmi kuadhimisha Misa ya usiku wa manane kwenye Krismasi na usiku wa Mwaka Mpya. Wakristo walikubali hali hiyo na hawakupaza sauti zao. Wengine walihama, wengine walibadilisha dini wakihofia kupoteza nyumba zao na kazi. Wengi waliendelea kuabudu kwa siri wakati ambapo Kanisa halikuwa likiwaunga mkono vijana au kufanya kazi ya kuimarisha familia.”
Soma Pia: Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo
Christians in southwestern Arabia, and specifically in Aden, a port city located in Yemen, have a deeply-rooted history dating back to the fourth century. Despite persecution over the centuries, the Christian faith continued to flourish and expand, becoming the most widespread religion in Aden before the advent of Islam. But with the rise of extremist religious thought, the Christian minority there has experienced hardship.
Badr, a Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden, spoke recently about the plight of Christians there with ACI Mena, CNA’s Arabic-language news partner.
Wishing to remain anonymous, she explained: “I didn’t realize that we, as Christians, were a minority until I reached middle school. There, I experienced harsh challenges related to my faith and to the loss of our rights.”
She continued: “Although some small churches became nationalized in the 1970s, Christians maintained the right to education in schools and employment in government jobs before 1994. Women enjoyed the freedom to dress [as they wish], and on the religious level, we were allowed to pray inside churches that were tax-free like mosques. The state also provided visas and residency status for foreign priests. No one pressured us to change our religion.”
However, Badr said all of that changed when the Muslim Brotherhood came to power.
“We were forced to wear the hijab,” she told ACI Mena. “The government officially prohibited us from celebrating midnight Mass on Christmas and New Year’s Eve. Christians accepted the situation and did not raise their voices. Some emigrated, others changed their religion, fearing to lose their homes and jobs. Many practiced their faith behind closed doors at a time when the Church did not support young people or work on strengthening families.”
![]()
Yemeni Christians pressured to conform to Islamic law
A Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden spoke recently about the plight of Christians in her country.www.catholicnewsagency.com
Hijab ni stara kumlinda mwanamke na kumpa heshima umuonapo, sio kutembea uchi kama mulivyo huko kwenu maradhi yameenea mwanamke sasa anavaa jeanz ama shorts na tshirt maungo yake ya mwili yote yanaonekana akitembea, umalaya na maradhi sasa yametapakaa ndio mana watu wanabakwa hamjuwi sababu ni nini eti mnaenda zenu Bejing kudai haki za mwanamke ''nonsense''.Ufaransa wanasema ni kwa sababu za kiusalama,
Yemen wanalazimisha watu wavae Hijab kwa sababu gani??
Weka akiba mkuu usiutukane uislam kwanza, nafkiri kwanza ungetaka kuujua na kuusoma halafu utaleta hayo majibu kama uta prove wrong au kama ni shida pia kuusoma kwako bora kaa kimya. shukranEnh Uislam leo mnadhalilisha sio dini ya haki... mnatupigia kelele sana.. mtume wenu alisema Uislam utakuwa mdogo na utarejea kwenye shimo kama Joka na kutokomea... Dini wa Waongo.. without Lies Islams die kama Mende
"Stara" ni nini??Hijab ni stara kumlinda mwanamke.
Hao mungu wao ni The Holy Ghost lile Shetani lisilo na dhambi lilio waletea mathematic formula 1=3 😄Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?
Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu
Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Mnapokimbilia marekani na usa hamjui Kama nchi za kikiristoMwambie Yemen ni nchi ya Kislam anataka kuishi kikristo aende Vatican au nchi za kikristo.
Stara inatokana na neno kujisitiri ama kujihifadhi kimwili kutokana na vishawishi ambavyo vinaweza kukusababishia matatizo mbali mbali hasa kwa mwanamke kutokana na maumbile yake naturally."Stara" ni nini??
Poyoyo kweli huyo, ujae nchi yenye shherua ba januni zao, halafu wewe ylazinishe zako za kiajabu ajabu, hata hujuwi umezitolea wapi.Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇
Wakristo wa kusini-magharibi mwa Arabia, na hasa katika Aden, mji wa bandari ulioko Yemen, wana historia yenye mizizi iliyoanzia karne ya nne. Licha ya mateso kwa karne nyingi, imani ya Kikristo iliendelea kustawi na kupanuka, na kuwa dini iliyoenea zaidi Aden kabla ya ujio wa Uislamu. Lakini kutokana na kuongezeka kwa mawazo ya kidini yenye msimamo mkali, Wakristo walio wachache huko wamepitia magumu.
Badr, mwanamke Mkatoliki wa Yemen aliyezaliwa katika miaka ya 1980 na anayeishi Aden, alizungumza hivi majuzi kuhusu masaibu ya Wakristo huko na ACI Mena, mshirika wa habari wa CNA wa lugha ya Kiarabu.
Akitaka kutotajwa jina, alieleza hivi: “Sikutambua kwamba sisi, tukiwa Wakristo, tulikuwa wachache hadi nilipofika shule ya sekondari. Huko, nilipata changamoto kali zinazohusiana na imani yangu na kupoteza haki zetu.”
“Tulilazimishwa kuvaa hijabu,” aliiambia ACI Mena. “Serikali ilitukataza rasmi kuadhimisha Misa ya usiku wa manane kwenye Krismasi na usiku wa Mwaka Mpya. Wakristo walikubali hali hiyo na hawakupaza sauti zao. Wengine walihama, wengine walibadilisha dini wakihofia kupoteza nyumba zao na kazi. Wengi waliendelea kuabudu kwa siri wakati ambapo Kanisa halikuwa likiwaunga mkono vijana au kufanya kazi ya kuimarisha familia.”
Soma Pia: Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo
Christians in southwestern Arabia, and specifically in Aden, a port city located in Yemen, have a deeply-rooted history dating back to the fourth century. Despite persecution over the centuries, the Christian faith continued to flourish and expand, becoming the most widespread religion in Aden before the advent of Islam. But with the rise of extremist religious thought, the Christian minority there has experienced hardship.
Badr, a Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden, spoke recently about the plight of Christians there with ACI Mena, CNA’s Arabic-language news partner.
Wishing to remain anonymous, she explained: “I didn’t realize that we, as Christians, were a minority until I reached middle school. There, I experienced harsh challenges related to my faith and to the loss of our rights.”
She continued: “Although some small churches became nationalized in the 1970s, Christians maintained the right to education in schools and employment in government jobs before 1994. Women enjoyed the freedom to dress [as they wish], and on the religious level, we were allowed to pray inside churches that were tax-free like mosques. The state also provided visas and residency status for foreign priests. No one pressured us to change our religion.”
However, Badr said all of that changed when the Muslim Brotherhood came to power.
“We were forced to wear the hijab,” she told ACI Mena. “The government officially prohibited us from celebrating midnight Mass on Christmas and New Year’s Eve. Christians accepted the situation and did not raise their voices. Some emigrated, others changed their religion, fearing to lose their homes and jobs. Many practiced their faith behind closed doors at a time when the Church did not support young people or work on strengthening families.”
![]()
Yemeni Christians pressured to conform to Islamic law
A Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden spoke recently about the plight of Christians in her country.www.catholicnewsagency.com
Nani alikudanganya?Mnapokimbilia marekani na usa hamjui Kama nchi za kikiristo
Sisi waafrika hatuna manabii wetu waliotokea mashariki ya kati, manabii wetu tulikuwa nao hapahapa Afrika.Kwa msingi huo basi tuna mashaka pia na dini ya kikiristo kwamba inaamrisha wafuasi wake watembee uchi, wawe huru wavae wanavyotaka, tunaziona picha za mama maria mumeweka huko makanisani alivaa nguo za heshima (hijab) pia picha za yesu huko makanisani pia alivaa nguo za heshima sijuwi munakwama wapi mnavaa nguo za uchi alimradi mwende sambamba na nchi za magharibi na US ilhali Nabii yesu alitokea Middle East - Mashariki ya kati.
Hatuvai kwa kufuata watu wa mashariki ya kati walivyokuwa wakivaa au wanavyovaa.Sasa akivaa hijabu Kuna shida gani si ndio vazi alikuwa anavaa mama yake Yesu?
Na pia mbona hata masters au sijui ndio mnawaita watawa wa RC wanavaa hijabu
Nyinyi wagalatia hamjui mnakotoka Wala mnakoenda
Kea nini hampendi kuvaa kama bikira Maria!?Ndio maana ninakataa siku zote kwamba hizi sio dini ila ni utamaduni tu wa watu kwani kama ingelikuwa ni dini basi mambo ya kipumbavu kama haya yasingekuwepo. Endelea kusoma.👇
Wakristo wa kusini-magharibi mwa Arabia, na hasa katika Aden, mji wa bandari ulioko Yemen, wana historia yenye mizizi iliyoanzia karne ya nne. Licha ya mateso kwa karne nyingi, imani ya Kikristo iliendelea kustawi na kupanuka, na kuwa dini iliyoenea zaidi Aden kabla ya ujio wa Uislamu. Lakini kutokana na kuongezeka kwa mawazo ya kidini yenye msimamo mkali, Wakristo walio wachache huko wamepitia magumu.
Badr, mwanamke Mkatoliki wa Yemen aliyezaliwa katika miaka ya 1980 na anayeishi Aden, alizungumza hivi majuzi kuhusu masaibu ya Wakristo huko na ACI Mena, mshirika wa habari wa CNA wa lugha ya Kiarabu.
Akitaka kutotajwa jina, alieleza hivi: “Sikutambua kwamba sisi, tukiwa Wakristo, tulikuwa wachache hadi nilipofika shule ya sekondari. Huko, nilipata changamoto kali zinazohusiana na imani yangu na kupoteza haki zetu.”
“Tulilazimishwa kuvaa hijabu,” aliiambia ACI Mena. “Serikali ilitukataza rasmi kuadhimisha Misa ya usiku wa manane kwenye Krismasi na usiku wa Mwaka Mpya. Wakristo walikubali hali hiyo na hawakupaza sauti zao. Wengine walihama, wengine walibadilisha dini wakihofia kupoteza nyumba zao na kazi. Wengi waliendelea kuabudu kwa siri wakati ambapo Kanisa halikuwa likiwaunga mkono vijana au kufanya kazi ya kuimarisha familia.”
Soma Pia: Messi alikataa kucheza uarabuni kwa shilingi Trilioni 4 kwa mwaka sababu ya sheria kandamizi za dola ya kiislamu zinanyanyasa na kubagua wakristo
Christians in southwestern Arabia, and specifically in Aden, a port city located in Yemen, have a deeply-rooted history dating back to the fourth century. Despite persecution over the centuries, the Christian faith continued to flourish and expand, becoming the most widespread religion in Aden before the advent of Islam. But with the rise of extremist religious thought, the Christian minority there has experienced hardship.
Badr, a Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden, spoke recently about the plight of Christians there with ACI Mena, CNA’s Arabic-language news partner.
Wishing to remain anonymous, she explained: “I didn’t realize that we, as Christians, were a minority until I reached middle school. There, I experienced harsh challenges related to my faith and to the loss of our rights.”
She continued: “Although some small churches became nationalized in the 1970s, Christians maintained the right to education in schools and employment in government jobs before 1994. Women enjoyed the freedom to dress [as they wish], and on the religious level, we were allowed to pray inside churches that were tax-free like mosques. The state also provided visas and residency status for foreign priests. No one pressured us to change our religion.”
However, Badr said all of that changed when the Muslim Brotherhood came to power.
“We were forced to wear the hijab,” she told ACI Mena. “The government officially prohibited us from celebrating midnight Mass on Christmas and New Year’s Eve. Christians accepted the situation and did not raise their voices. Some emigrated, others changed their religion, fearing to lose their homes and jobs. Many practiced their faith behind closed doors at a time when the Church did not support young people or work on strengthening families.”
![]()
Yemeni Christians pressured to conform to Islamic law
A Yemeni Catholic woman born in the 1980s and living in Aden spoke recently about the plight of Christians in her country.www.catholicnewsagency.com
Utamaduni wenu kuvaa vibwaya huku maziwa yakiwa njeHatuvai kwa kufuata watu wa mashariki ya kati walivyokuwa wakivaa au wanavyovaa.
Unapaswa kufahamu kwamba haya mambo ya mavazi, majina nk yanaendana na utamaduni wa watu husika sasa sisi sio watu wa mashariki ya kati ila ni waafrika hivyo tutavaa kulingana na utamaduni wetu na hatutanakili utamaduni wa kigeni kwa kisingizio cha dini na nchi yetu pia sio nchi ya kidini.
Marekani siyo nchi ya kikristuMnapokimbilia marekani na usa hamjui Kama nchi za kikiristo
nabii wako wa Africa ni nani mkuu lete majina yao na jumla yao wako wangapi? alipata unabii kutoka wapi? alikuja na mafundisho gani huyo nabii wako na alitumwa na nani? lete vitabu vyao hapa ambavyo walikufundisha wewe na mavazi ya mwanamke yatakuwaje hapa ulimwenguni ama huyo utamaduni lete references tafadhaliSisi waafrika hatuna manabii wetu waliotokea mashariki ya kati, manabii wetu tulikuwa nao hapahapa Afrika.
Sisi waafrika tutavaa tunavyopenda wenyewe na kamwe hatutaruhusu mtu atoke kwao kuja kutufundisha namna ya kuvaa kwani hatutakubali kurudishwa tena utumwani.
Hivi tunavyovaa tunaamini ndivyo sisi tunavyopaswa kuvaa kulingana na utamaduni wetu hivyo hao wageni waachane na sisi kwani upagazi ulishaisha kitambo.
Kwa sababu za kiusalama.Ufaransa wanasema ni kwa sababu za kiusalama,
Yemen wanalazimisha watu wavae Hijab kwa sababu gani??
Hakukuwa na rekodi za maandishi ndio maana kumbukumbu ya manabii wetu zilipotea lakini walikuwepo.nabii wako wa Africa ni nani mkuu lete majina yao na jumla yao wako wangapi? alipata unabii kutoka wapi? alikuja na mafundisho gani huyo nabii wako na alitumwa na nani? lete vitabu vyao hapa ambavyo walikufundisha wewe na mavazi ya mwanamke yatakuwaje hapa ulimwenguni ama huyo utamaduni lete references tafadhali
Hakuna mwanamke yeyote anayeacha matiti yake wazi acha uongo bwana na umemuona wapi.Utamaduni wenu kuvaa vibwaya huku maziwa yakiwa nje
Sisi sio waisraeli ila ni waafrika na tunajivunia uafrika wetu. Period.Kea nini hampendi kuvaa kama bikira Maria!?