Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona Kuna watu wanacheza na taifa lake.

Hivyo madhehebu yote wanaomwamini Mungu wa kweli, Mungu asiependa Hila, Mungu asiependa dhulma, Mungu asiependa ufisadi, Mungu asiependa umwagaji damu usio na hatia, Mungu asiependa uonevu, Mungu asiependa unyanyasaji, Mungu asiependa kujikweza kwaajili ya pesa na madaraka, tuungane pamoja katika sala hio inayoanza rasmi kesho tarehe 15/8/2025 ili basi akasimame na kuonyesha utukufu na ukuu wake. Tusiache kusindikiza maombi haya na SADAKA.

Wao Wana MIUNGU na MAKAFARA, sisi tuna Mungu mkuu alieumba mbingu na Dunia hii ikiwemo na Tanzania anayependa watu waishi kwa amani furaha na Haki katika nchi yao.

Tumsifu Yesu Kristu.
 
Waislamu hatuendeshwi na wakatoliki wala hatupendi muungano wa kinafiki ,fanyeni yenu kimpango wenu..Hatuna ugomvi na nyie ,ila msijifanye mna mamlaka ya kuamuru tufanye nn.

Fanyeni maombi yetu ,hatupendi mambo ya kinafiki ,nyie no wanafiki na watu wenye chuki.
 
Sasa mbona sheikh Mwaipopo na wengine wengi kutwa kucha kuwajibu Maaskofu wa TEC??
 
Waislamu na Novena wapi na wapi!?
 
Sasa mbona sheikh Mwaipopo na wengine wengi kutwa kucha kuwajibu Maaskofu wa TEC??
Lazima wawajibu kwa sababu hauwezi kuchanganya maji na mafuta ...Kitu kingine ,si uliona hata dokta sulle ni CCM ? Huo ni utashi wao ,katika uislamu kuna kiongozi ila hamna mtakatifu kama mitume walishakufa.

Hao ni utashi wao ,hakuna sehemu wametumwa ...Mambo ya ugomvi bila ya kuchokozwa si sehemu ya maamrisho ya waislamu ..
 
Mimi najitolea.
Nitawawakilisha waislamu wasiokua tayari
 
Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona Kuna watu wanacheza na taifa lake.

Hivyo madhehebu yote wanaomwamini Mungu wa kweli, Mungu asiependa Hila, Mungu asiependa dhulma, Mungu asiependa ufisadi, Mungu asiependa umwagaji damu usio na hatia, Mungu asiependa uonevu, Mungu asiependa unyanyasaji, Mungu asiependa kujikweza kwaajili ya pesa na madaraka, tuungane pamoja katika sala hio inayoanza rasmi kesho tarehe 15/8/2025 ili basi akasimame na kuonyesha utukufu na ukuu wake. Tusiache kusindikiza maombi haya na SADAKA.

Wao Wana MIUNGU na MAKAFARA, sisi tuna Mungu mkuu alieumba mbingu na Dunia hii ikiwemo na Tanzania anayependa watu waishi kwa amani furaha na Haki katika nchi yao.

Tumsifu Yesu Kristu.
Sala nzito ikoje? Weka mfano wa sala nzito hapa. Na ni nani aliyekuambia ukisali unasindikiza sala na sadaka? Unataka kumpa Mungu rushwa?
 
We kumamayo unanifatafata nini kumamayo. Achana na Mimi kinabo wewe.
Siongei na wagonjwa wa akili Mimi. Go to my ignored list baffoon.
 
Back
Top Bottom