Sasa mbona sheikh Mwaipopo na wengine wengi kutwa kucha kuwajibu Maaskofu wa TEC??Waislamu hatuendeshwi na wakatoliki wala hatupendi muungano wa kinafiki ,fanyeni yenu kimpango wenu..Hatuna ugomvi na nyie ,ila msijifanye mna mamlaka ya kuamuru tufanye nn.
Fanyeni maombi yetu ,hatupendi mambo ya kinafiki ,nyie no wanafiki na watu wenye chuki.
Lazima wawajibu kwa sababu hauwezi kuchanganya maji na mafuta ...Kitu kingine ,si uliona hata dokta sulle ni CCM ? Huo ni utashi wao ,katika uislamu kuna kiongozi ila hamna mtakatifu kama mitume walishakufa.Sasa mbona sheikh Mwaipopo na wengine wengi kutwa kucha kuwajibu Maaskofu wa TEC??
Sala nzito ikoje? Weka mfano wa sala nzito hapa. Na ni nani aliyekuambia ukisali unasindikiza sala na sadaka? Unataka kumpa Mungu rushwa?Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona Kuna watu wanacheza na taifa lake.
Hivyo madhehebu yote wanaomwamini Mungu wa kweli, Mungu asiependa Hila, Mungu asiependa dhulma, Mungu asiependa ufisadi, Mungu asiependa umwagaji damu usio na hatia, Mungu asiependa uonevu, Mungu asiependa unyanyasaji, Mungu asiependa kujikweza kwaajili ya pesa na madaraka, tuungane pamoja katika sala hio inayoanza rasmi kesho tarehe 15/8/2025 ili basi akasimame na kuonyesha utukufu na ukuu wake. Tusiache kusindikiza maombi haya na SADAKA.
Wao Wana MIUNGU na MAKAFARA, sisi tuna Mungu mkuu alieumba mbingu na Dunia hii ikiwemo na Tanzania anayependa watu waishi kwa amani furaha na Haki katika nchi yao.
Tumsifu Yesu Kristu.
We kumamayo unanifatafata nini kumamayo. Achana na Mimi kinabo wewe.Sala nzito ikoje? Weka mfano wa sala nzito hapa. Na ni nani aliyekuambia ukisali unasindikiza sala na sadaka? Unataka kumpa Mungu rushwa?