Wakristo Wakesha na Kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais Samia huku Amani na Utulivu Vikitamalaki Nchini kote

Kwa Mwamposa nako kuna Wakristo?
Maana ndio pekee anampenda huyu chura kiziwi
Kujiona mkiristo sana na masanamu yako, ukiangalia vizuri utaona walutheri taratibu wanajiengua na TEC na wanakua na rais, maana wanajua wale Wana Yao na wamenyonya sana nchi hii
 
Acha kuropoka ropoka Hovyo kama lilevi la gongo.

Kwanza kuendelea kujibizana na mtu mnafiki, punguani na mfuasi mwaminifu wa shetani kama wewe naweza kujitia unajisi. Ngoja nikuondoe, wapo wanadamu wengi walio timamu, kuliko kupoteza wakati, niwe najadiliana na kubishana na wewe ambaye kwa hakika ni miongoni mwa mawakala shetani waaminifu, ndiyo siku zote umefurahia vifo na madhira mengine ya binadamu. Umelaaniwa wewe jnayemtegemea ibilisi.
 
Imetosha sasa eacha nidumbukize ignore list. Huwezi kunichefua hivi sikukuu
 

Sio kweli kwa wakristo haki ni mbele ni mpaka Mama Samia atubu kwa wizi wa kura ndiyo sala zitapokelewa mengine yote uchawa
 
JamiiCheck
 
Wakristo ndio watu wa amani siku zote, hawana chuki, wamejawa na upendo, hawana munkari, jazba na mafundisho ya chuki kama wale. Siku zote wakristo ni watu wa amani na haki
 
Kwa maelezo ya askofu ruwa ichi wewe lucas ndio wale "wapumbavu waliorubuniwa"
 
Wewe jamaa una matatizo ya akili
 
Taja idadi ya Makanisa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…