Wakristo Wakesha na Kushinda Makanisani Wakimuombea Heri Rais Samia huku Amani na Utulivu Vikitamalaki Nchini kote

Makanisa yetu huendeshwa na mapadri na wachungaji, waumini ni wasikilizaji tu kwani hayaendeshwi kwa mijadala na si kila wasemacho mapadri na wachungaji waumini wanakubaliana nacho.
 
Huku kwetu hakuna hata neno moja lilitoka kumwombea mtu anaitwa Rais! Kanisa haliwezi kuombea
 
kuna uhuru wa maoni lakini huyu kenge kazidi kwa propaganda.
 
Kauli za kumsifu Rais Samia haziwezi kufuta facts nzito zilizoripotiwa na taasisi huru za ndani na nje ya nchi kuhusu hali ya demokrasia Tanzania, hususan kuhusiana na uchaguzi wa Oktoba 29 ambao ulitawaliwa na madai ya wizi wa kura, kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani, kuzuiwa kwa mawakala, na ukosefu wa uwazi katika uhesabuji wa kura, hali iliyopelekea matokeo kukataliwa na vyama vya upinzani na wadau wa haki za binadamu. Kabla na baada ya uchaguzi, kulishuhudiwa ukandamizaji wa kisiasa, ukiwemo kukamatwa kwa wanasiasa na wanaharakati, vitisho kwa waandishi wa habari, kuzuiwa kwa mikutano ya kisiasa, na matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji, mambo ambayo yameripotiwa wazi na mashirika kama Amnesty International na Human Rights Watch. Aidha, madai ya mauaji, utekaji na mateso yameendelea kutajwa katika kipindi cha utawala wake bila uwajibikaji wa wazi, hali inayotia doa simulizi ya amani na utulivu, kwani amani ya kweli haiwezi kujengwa juu ya hofu, udikteta wa kiutawala, na kufifishwa kwa sauti za wananchi, bali juu ya uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria, na kuheshimu haki za binadamu kwa vitendo, si maneno.
 
Chuki binafsi ndio zinakusumbua. Huna hoja yoyote ile zaidi ya kuandika hisia zako binafsi zisizo na msingi.
 
Chuki binafsi ndio zinakusumbua. Huna hoja yoyote ile zaidi ya kuandika hisia zako binafsi zisizo na msingi.
Mjinga tu wewe hujitambui,
wewe ni mzigo wa mavi huna faida zaidi ya kuleta harufu chafu kwa jamii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…