Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Mama watoto huyo nilikumis sanaHuku south africa jamii nyingi za kiislam wanatoa misosi bure almaarufu wanaitwa maulana,,, ukienda msikitini siku ya ijumaa nje mateja kibao wanaomba msaada na wasio mateja wanapewa kuanzia nguo, hela, vyakula nk. Sasa nenda kanisani kasimame nje usuburi watoke uombe msaada kama hujachezea shaya na wakosa huku western cape 😀
Kuokoka na niniNaomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Sasa Bila maji watatawadha Vipi?Katika jambo waarabu {islam} wamapata credits ni suala la maji
Chizi huyo.Kuokoka na nini
Roho ya kikatili kama ya Pastor Mackenzie wa Kenya aliyeua waumini wake kwa kuwaaminisha kufunga bila kula mpaka mauti yakawakuta?ungekuwa na roho ya kikatili
Answar wale tatizo washari sana hawafai. Waislamu licha ya matatizo yao ni wepesi kusaidia. Nakumbuka nikiwa nyumbani Kagera zamani sana mzee alikua anamchukia jirani yetu alikua muislamu, lakini kuna matatizo ya kishirikina yalimfika. mzee si mtu wa kidini vile..kanisani maombi yalidunda, waganga hola, akaamua kumshirikisha jirani mwishowe.Sasa hao hao Answar wanaenda mahospitalini na kutoa misaada ya vyakula na nguo bure
Kwangu mimi sadaka hiyo ina sauti kubwa kuliko sadaka ya Kinafiki
Kama ningekuwa Muislam ningekuwa Answar
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shuleAsante kwa kutujulisha.Visima vya msikiti vinatusaidia sana,kipindi chose cha shida ya maji.Pamoja na waliokatiwa maji,na wasio na mabomba ya maji,bila kubagua dini,na pia asiye na dini.
Acha uongoTukumbushane tu kuwa hiyo misikiti inayotoa na kushirikiana na jamii ni ya BAKWATA pekee!!
Wale Answar hawataki hata Waislam wenzao wa BAKWATA sembuse asiye Muislam kuwasogelea....!!
Walituleteaga fujo ya mapanga wale Kenge (AnswarSun) sitawasahau!!
Waislam wengi hata kwa wahitaji hawatoi labda Hawa madoni wakubwa wanaojulikanaMakanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo, Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa
Licha ya kwamba waislamu weng ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.
Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima.
Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.
Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.
Waumini wana magonjwa ambayo yanatibika kwa milioni 10 lakini wachungaji wenye account zinazosoma Bilioni wapo kujifanya wanawaombea, Kweli ?? Haya kama sio maombi ya kinafki tuyaitaje ?
Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Hizi shule za kanisa wanaporokia wanasoma bure?Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule
Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo, Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa
Licha ya kwamba waislamu weng ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.
Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima.
Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.
Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.
Waumini wana magonjwa ambayo yanatibika kwa milioni 10 lakini wachungaji wenye account zinazosoma Bilioni wapo kujifanya wanawaombea, Kweli ?? Haya kama sio maombi ya kinafki tuyaitaje ?
Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Kwahiyo wakristo wote ni matajiri? hizo Hospitali na Shule wanasoma bure na kutibiwa bure?Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule
Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
sikiliza we sheikh, hao uliowataja sio mapastor, ni wahuniRoho ya kikatili kama ya Pastor Mackenzie wa Kenya aliyeua waumini wake kwa kuwaaminisha kufunga bila kula mpaka mauti yakawakuta?
Roho ya kikatili kama Pastor Kibwetere aliyewachoma moto waumini wake ndani ya Kanisa na kuwaua?
Mimi naona kuna wakristo wenye akili timamu na wenye utaahira, wenye akili timamu ni wale watakaokupuuza wewe na hii tafsiri yako ya kipumbavu na mataahira watakuunga mkono.Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Hiyo ni kwa mujibu wako but hao ni waumini wa dini gani?sikiliza we sheikh, hao uliowataja sio mapastor, ni wahuni
Kwani hizo hospital na shule ni bure? Kibaya zaidi hizo shule zina ada kubwa kuliko shule nyingi za binafsi. Wanachofanya wakristo ni ubepari.Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule
Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
hao ni wahuni si wakristo kama unavyodhani. Siku hizi hata waganga wa kienyeji wamejigeuza ni mapastor ili waendelee kuwapata wateja wao kama unavyoona vituko vyao vya kuuza vitu vya ajabu ajabu walivyovinuwizia kuwa vinaponya. We huwezi kuwatambua mapastor wa kweli kwa kuwa huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifuHiyo ni kwa mujibu wako but hao ni waumini wa dini gani?
Ila ingekua hao ni waislamu halafu mtu akwambie hao sio waislamu usingekubaliana na huo utetezi,hao ni wahuni si wakristo kama unavyodhani. Siku hizi hata waganga wa kienyeji wamejigeuza ni mapastor ili waendelee kuwapata wateja wao kama unavyoona vituko vyao vya kuuza vitu vya ajabu ajabu walivyovinuwizia kuwa vinaponya. We huwezi kuwatambua mapastor wa kweli kwa kuwa huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifu