Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

Huku south africa jamii nyingi za kiislam wanatoa misosi bure almaarufu wanaitwa maulana,,, ukienda msikitini siku ya ijumaa nje mateja kibao wanaomba msaada na wasio mateja wanapewa kuanzia nguo, hela, vyakula nk. Sasa nenda kanisani kasimame nje usuburi watoke uombe msaada kama hujachezea shaya na wakosa huku western cape 😀
Mama watoto huyo nilikumis sana
 
Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Kuokoka na nini
 
Sasa hao hao Answar wanaenda mahospitalini na kutoa misaada ya vyakula na nguo bure

Kwangu mimi sadaka hiyo ina sauti kubwa kuliko sadaka ya Kinafiki

Kama ningekuwa Muislam ningekuwa Answar
Answar wale tatizo washari sana hawafai. Waislamu licha ya matatizo yao ni wepesi kusaidia. Nakumbuka nikiwa nyumbani Kagera zamani sana mzee alikua anamchukia jirani yetu alikua muislamu, lakini kuna matatizo ya kishirikina yalimfika. mzee si mtu wa kidini vile..kanisani maombi yalidunda, waganga hola, akaamua kumshirikisha jirani mwishowe.

Huwezi amini jamaa aliyabeba matatizo ya mzee kwa masikitiko makubwa kama ndugu vile akasahau vitimbi na chuki ya mzee. Na kweli mzee alisaidika shida ikaisha kupitia jamaa.

Ninakumbuka maneno pekee alimueleza mzee alimwambia, "nyie wenzetu mnatudharau lakini mkifikwa na mambo mazito mkazunguka na kukwama kote mwisho mnakuja tuwasaidie na sisi hatuna hiyana jirani nitakusaidia kwa hali na mali".

Yule jamaa alicharaza maneno kile kitabu chao mzee alikaa sawa kabisa. Jamaa hakua mganga bali alikua mshika dini sana, yeye hakua hao wakata kanzu wazee wa vurugu answar
 
Asante kwa kutujulisha.Visima vya msikiti vinatusaidia sana,kipindi chose cha shida ya maji.Pamoja na waliokatiwa maji,na wasio na mabomba ya maji,bila kubagua dini,na pia asiye na dini.
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule

Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
 
Tukumbushane tu kuwa hiyo misikiti inayotoa na kushirikiana na jamii ni ya BAKWATA pekee!!

Wale Answar hawataki hata Waislam wenzao wa BAKWATA sembuse asiye Muislam kuwasogelea....!!

Walituleteaga fujo ya mapanga wale Kenge (AnswarSun) sitawasahau!!
Acha uongo
 
Makanisani wakristo wengi wakishatoa sadaka kanisani ndio shughuli imeishia hapo, Ni rahisi sana kuwakuta wachungaji mabilionea wanaotajirika kwa sadaka za waumini lakini kuna waumini wana changamoto zinazoweza kutatulika kwa milioni 10 ila wanaombewa badala ya kusaidiwa

Licha ya kwamba waislamu weng ni maskini ukilinganisha na wakristo, Nimegundua waislamu hawatoi sana sadaka misikitini lakini huwa wanasaidia sana huku nje.

Nimewahi kupata shida ya maji na niliweza kuchota maji bure kabisa msikitini wiki nzima.

Niliwahi kufikia sehemu sina pa kulala nilienda kanisani nikiwa muumini wa kanisa tangu mtoto lakini nilikataliwa kabisa, sehemu iliyonitunza ni msikiti, kanisa waweza kukuta lina mabomba ya kutosha ila ni kwajili ya matumizi ya kikanisa tu.

Mwezi wa Ramadhani ule mwezi mzima ni kawaida sana kuwakuta waislam wanasaidia vyakula watu wenye shida.

Waumini wana magonjwa ambayo yanatibika kwa milioni 10 lakini wachungaji wenye account zinazosoma Bilioni wapo kujifanya wanawaombea, Kweli ?? Haya kama sio maombi ya kinafki tuyaitaje ?

Pamoja na mazuri haya kilichonitatiza kuhamia uislam ni dini ambayo ina baadhi ya sheria zenye mirengo mikali sana, hakuna free will uhuru wa kiimani kwamba unaweza kuchagua dini nyingine, kukariri koran na kuomba kwa lugha usiyoijua, mistari yenye kuchochoea chuki dhidi ya wasio waislam, n.k.
Waislam wengi hata kwa wahitaji hawatoi labda Hawa madoni wakubwa wanaojulikana
 
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule

Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Hizi shule za kanisa wanaporokia wanasoma bure?
 
Linapokuja suala la haki lazima kuwe na mirengo mikali sana Mkuu. Usishangae
 
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule

Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Kwahiyo wakristo wote ni matajiri? hizo Hospitali na Shule wanasoma bure na kutibiwa bure?

Kama shule zilijengwa kwa lengo la kuwaondolea waumini ujinga ina maana waumini wenu wote hawana ujinga? kama hawana ujinga inakuwaje wanaamini kua binadamu ana uwezo wa kufuta dhambi za binadamu mwenzake?

Inakuwaje wanaamini maji ya upako na chumvi vinaleta utajiri? inakuaje wanaamini kua binadamu ''Mchungaji'' ana uwezo wa kumfufua mtu? inakuaje wanaamini kua mchungaji akiwaombea ndio anasikilizwa zaidi na Mungu kuliko wao kujiombea wao wenyewe?

Najua kua comment yako umeiandika kwa mihemko ya chuki ya udini,nijibu hayo maswali kwanza ili twende next stage.
 
Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.

Sadaka na zaka sio kwaajili ya Mungu bali wachungaji na Makuhani na wote wanaotumikia madhabahuni.
Hakuna chochote unachoweza kumtolea Mungu kwani vitu vyote ni vyake.

Acha upotoshaji
 
Roho ya kikatili kama ya Pastor Mackenzie wa Kenya aliyeua waumini wake kwa kuwaaminisha kufunga bila kula mpaka mauti yakawakuta?

Roho ya kikatili kama Pastor Kibwetere aliyewachoma moto waumini wake ndani ya Kanisa na kuwaua?
sikiliza we sheikh, hao uliowataja sio mapastor, ni wahuni
 
Naomba nitoe elimu kidogo: Kuna wakristo wasio wakristo, hawa hawaujui ukristo kwa maana ya kwamba hawana uhusiano binafsi na KRISTO. Wakristo wasio wakristo wanapotoa sadaka wanaamini wanampa/wanamfadhili mchungaji!! Wakristo walio WAKRISTO (waliookoka) wanapotoa sadaka wanajua wanamtolea Mungu na ndivyo ilivyo!! Wakristo wasio wakristo wamezaliwa na wazazi wakriso ambao pia wanaweza kuwa ni wakristo wasio wakristo pia!! Mkristo wa kweli ni yule aliyeokoka.
Mimi naona kuna wakristo wenye akili timamu na wenye utaahira, wenye akili timamu ni wale watakaokupuuza wewe na hii tafsiri yako ya kipumbavu na mataahira watakuunga mkono.
 
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule

Pili kaangalie mahospitali yanayohudumia watu wote bila ubaguzi makubwa Hadi ya rufaa yaliyojengwa na Wakristo.Waoslamu kazo kugawa tende mwezi wa Ramadhani na kufuturisha watu au kugawa kakiroba la kilo kumi.kamoja mwezi wa Ramadhani.Maskinini anaishia tu kufuturu Ramadhani baada ya hapo anarudi kwenye Umaskini wake anasubiri Ramadhani ijayo
Kwani hizo hospital na shule ni bure? Kibaya zaidi hizo shule zina ada kubwa kuliko shule nyingi za binafsi. Wanachofanya wakristo ni ubepari.
 
Hiyo ni kwa mujibu wako but hao ni waumini wa dini gani?
hao ni wahuni si wakristo kama unavyodhani. Siku hizi hata waganga wa kienyeji wamejigeuza ni mapastor ili waendelee kuwapata wateja wao kama unavyoona vituko vyao vya kuuza vitu vya ajabu ajabu walivyovinuwizia kuwa vinaponya. We huwezi kuwatambua mapastor wa kweli kwa kuwa huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifu
 
Ila ingekua hao ni waislamu halafu mtu akwambie hao sio waislamu usingekubaliana na huo utetezi,

Wewe ndio huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifu na huwezi kujijua coz akili hiyo huna.
 
Back
Top Bottom