Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

Unaokokaje na Bado upo duniani we Mzee..... Ndio mnavyojidanganyaga hivyo walokole.....
 
Katika jambo waarabu {islam} wamapata credits ni suala la maji
[/QUOTE.ni wakuwait, waturuki ndio tunaona lebo zao kwenye visima huko misikitini. Maji wamefanikiwa walete na umeme ndio uwape credit
 
Na hawa wanaochinja mifugo kwa wingi na kugawa nyama mitaani ni waislam wa wapi? Ni hawahawa wa bongo au ni kutoka nje?
 
Wakristo utoaji unaonekana wazi Tena mkubwa kaangalie shule zilijengwa na wakristo kuanzia chekechea ,msingi Hadi sekondari na Hadi vyuo vikuu ili.kuondolea waumini ujinga na kuwapa elimu ya uhakika shule
Na usomi wako wote bado hujajua tu kwanini wakristo/wamisionari walijenga mashule? Kalagabaho
 
Kwani hzo hospital na shule zinatoa huduma bure....?
 
Hili lina ukweli, wakristo Mungu atusaidie kubadirika, turudi kwenye misingi ya kibiblia.
 
Huyo jamaa baada ya kuona mzee wako anachuki nae akamshughulikia ili kumtia adabu. Alivyonyooka akamwachia. Usicheze na ustaadh dogo.
 
Ila ingekua hao ni waislamu halafu mtu akwambie hao sio waislamu usingekubaliana na huo utetezi,

Wewe ndio huna roho ya kupambanua ukweli na udanganyifu na huwezi kujijua coz akili hiyo huna.
sheikh naona unaleta utani mkuu wangu, unaniambia sina akili, are you serious?
 
I'm laughing, when you compare Christians and Muslims , "love them and kill them" do you remember the way people were killed when they rejected Christianity? Go back to church history.
 
Hakuna ukweli.
 
Huo ni Uongoo .Soma hiyo dini utakuja nishukuru maisha yako yote na hutojutaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…