Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hivi nguruwe anachinjwa machinjio gani?
nguruwe tunamtandika nyundo ya kichwa hapo hapo zizini ili nguruwe wenzake wajionee na wajiandae vema zamu yao ikifika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nguruwe anachinjwa machinjio gani?
Ila ni weli bana tuanze kupewa na sie kuchinja kwani nani kahalalisha hawa jamaa wachinje peke yao???
mkuu huo ni utaratibu wa zamani,siku hizi unachukua mkate unauloweka kwenye gongo(POMBE YA GONGO AU HATA KONYAGI),akisha kura analewa na unamchinja kiraisi sana!
Mkuu huo ni utaratibu unaoujua wewe,hila sisi tunaokula tunajua anachinjwaje!Nguruwe hana pa kumchinja ! Pengine gongo linasaidia kumpunguzia maumivu atakayopata baada ya kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali !
Mwongo Mkubwa! nenda NAKUMAT Mall kaangalie safu ambayo 'Kitimoto inauzwa kama ina lebo "Halal food".kenya vyakula vyote vina nembo ya HALAL FOOD sijui tanzania itaanza lini!hiyo ya wakristo itakua na nembo unhalal food
hana machinjio kwa vile hapaswi kuliwa na mtu yeyote makini, mchamungu na mjanja hapa duniani na akhera inshaallah!Hivi nguruwe anachinjwa machinjio gani?