John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Hawa waliofanya Mauaji haya watakuwa ni ndugu zake na FaizaFox ambao amekuwa akiwatetea na kuwapigia debe kila siku hapa mtandaoni.
Ni baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Katika msimu huu wa Christmas, Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo takribani 113 na kujeruhi 300 katika vijiji 20 vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
source >> https://edition.cnn.com/2023/12/26/africa/nigeria-plateau-killings-intl/index.html