Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Usitufanye sisi wajinga.Vipi wauwe watu bila hatia hao si Waislamu hao ni wanatumia ushenzi wao kwa kusingizia Uislam.
Uislam ni din ya Amani
Wanao kunywa pombe ni wakatoliki sio wakristo usichanganye mambo hapoPombe kwenye uislam haramu kwahio hua wanalewa kwa matakwa yao binafsi
Ila wakristo pombe inanywewa mpaka kanisani ambayo sehemu eti ya ibada
Maana yake kwa wakristo pombe halali
FaizaFoxy kwa hiyo unatamani watanzania wote ambao siyo waislamu wauawe ili mbaki ninyi waislamu tu???? Kuna rafiki zangu waislamu ni wastaarabu sana tena great friends of mine. Ila wengine mmepandikizwa roho za kuua kama wewe FaizaFoxy ni muuaji nadhani kwa jamii yetu hufai, yaani unajisikia raha kuua asiye muislamu.Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
"Competition for natural resources between nomadic herders and farmers, intensified by rapid population growth and climate pressures, has also exacerbated social tensions and sparked violence"Halafu utasikia wanakwambia ni dini ya haki. Haki gani ya kuuwa wenzio??
Siku zote hii ndo namna mnayotumia kukwepa matendo yenu..!!Vipi wauwe watu bila hatia hao si Waislamu hao ni wanatumia ushenzi wao kwa kusingizia Uislam.
Uislam ni din ya Amani
Uliona jana Zanzibar uwanja wa Amani wakati wenye hijab zao na sigda wakikata mauno nyimbo za Diamond? AU mnyazi mungu ameruhusu hayo? Acha kutetea ushetani kwa kichaka cha DiniHawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
FaizaFoxy sikuitegemea hii itoke kwako..!! unafurahia mauwaji, kweli..!!??? Kwahiyo, huu ndo utekelezaji wa yeyote asiyeamini katika uislamu AUWAWE???Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
Umejaribu kuchukua kipande chako tu."Competition for natural resources between nomadic herders and farmers, intensified by rapid population growth and climate pressures, has also exacerbated social tensions and sparked violence"
Na hiyo ndio sababu kuu ya mauaji kutokana na chanzo cha habari husika. Ila kwa kua mleta uzi katafuta angle yake ya kuingilia kapata wafuasi wake wa kumfuata pasi na kufungua link aliyoileta.
Kama hukutegemea basi ulikuwa humjui kabisaFaizaFoxy sikuitegemea hii itoke kwako..!! unafurahia mauwaji, kweli..!!??? Kwahiyo, huu ndo utekelezaji wa yeyote asiyeamini katika uislamu AUWAWE???
Si mchezo, ni kweli sikuwa namjua FaizaFoxy wa kiwango hiki..!!!Kama hukutegemea basi ulikuwa humjui kabisa
Wakatoliki dini gani na wananywea pombe sehem ganiWanao kunywa pombe ni wakatoliki sio wakristo usichanganye mambo hapo
UzushiMuislamu alieshika Sana dini tofauti yake na shetani hua ni ndogo Sana, yani Kila asie wa Imani yake wanatamani kumuua tuu
Faiza foxy anamatatizo ya akili yaliyo alibiwa na dini yake. Ni mtu wa ovyo .FaizaFoxy sikuitegemea hii itoke kwako..!! unafurahia mauwaji, kweli..!!??? Kwahiyo, huu ndo utekelezaji wa yeyote asiyeamini katika uislamu AUWAWE???
Wafe kwa kufakamia mi[pombe mseme wameuliwa na Waislam.
Si ndiyo zenu hizo? Wala sikushangai. Pambana na Alshabab huko, vipi nasikia wamechukuwa nchi wanaongoza wao. Wamarekani sasa wanaanza kukosa pesa za kuwalipa wakenya, mtajiondowa sasa hivi huko au mtakuwa kitoweo cha fisi wa Somalia.
Unajuwa idadi ya vifo Tanzania Kuanzia Tarehe 20 December mpaka Tarehe 2 January inayosababishwa na kufakamia mipombe huwa kubwa kuliko hiyo?
kaulize mochwari ya jirani yako tu, upewe figures.
Tena mwaka huu vifo vimezidi mpaka watu wameanza kujitetea eti pombe feki nyingi. Iwe au isiwe feki, pombe ni pombe tu.
Malaya wa Kiarabu unashangilia uuaji ?Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
Hamas walivyomuua Joshua kule Israel ulishangilia na kwaita wapigania dini Leo unakana kauli Yako sio!! Nyie watu mnatakiwa mfanyiwe utafiti maana ubongo ndani ya vichwa vyenu una vitu vya kustaajabisha.Uzushi
Ukiona muislam anaua mtu eti kisa tofauti ya dini ujue hana analojua kuhusiana na uislam hata robo
Uislam uko wazi kabisa linapokuja suala la kumuua mtu
Ukiona mtu anaua watu eti kisa imani tofauti huyu anatakiwanapigwe msasa kuhusiana na uislam sababu hajui lolote kuhusiana na dini ya uislamu
Wewe ni mjinga sababu Qur'an haikushushwa kwa siku moja kama unavyo dhania wewe, na wajinga wenzako hizo Aya zilishuka kulikuwa reason flani wakati ule wa vita, sio amri kama unavyo dhania wewe, the above verse does not convey the general command of Islam. The truth of the matter is that the Qur'an was not revealed in the complete form in which it exists today.Usitufanye sisi wajinga.
Hao wanaua kwa ku quote Quran then hiyo hiyo Quran inatangaza amani na upendo.
Hao waislam wanaoua watu ndio waislam haswa maana wanafanya kilichoagizwa na Quran (shetani).
View attachment 2855217View attachment 2855217
Yes waliouliwa ni dini tofauti na wale walioua. Ni kama kipindi kile cha vita ya wakulima na wafugaji sababu ya vita ni ardhi, huwezi kusema direct kua wakulima waliuawa sababu ya kua wao ni jamii ya wakulima. Motive ya mauaji ni ardhi ambayo it happens kukaliwa na wakulima.Umejaribu kuchukua kipande chako tu.
Una hakika na unachoongea hakuna sehemu wanasema jihadist? Hakuna sehemu wanasema south kwenye wakristo na north kwenye waislamu wengi?
Udini bado upo mkuu.