Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheeeeee acheni ujanja ujanja nyie watu ona mnavyoipa uhalali pombeNdio ila ulevi ni dhambi! Tambua Kuna tofauti kati ya kunywa na kulewa,na kula na kivimbiwa
Hayo ni maneno yako na sio SHERIA,naifwata Biblia kama marejeo na sio mtazamo wa mtu binafsi,Mungu hajawai kataza kunywa pombe Bali ulevi, mbona amekataza ulafi pia lakini chakula tunakula? Kama wewe ni muislam sawa Baki na Imani yako na mm nabaki na Imani yanguHeheeeeee acheni ujanja ujanja nyie watu ona mnavyoipa uhalali pombe
Pombe niharamu na uchafu hata kama utakunywa tone ama litakugusa tone
Pombe dhambi kuanzia mtengenezaji msambazaji muuzaji mnunuwaji mtumiaji mbebaji mtangazaji na kila anaeiunga mkono anapata dhambi
Sasa pombe ikiwa pombe na ikiwa ulevi ina tofauti gani mkuuHayo ni maneno yako na sio SHERIA,naifwata Biblia kama marejeo na sio mtazamo wa mtu binafsi,Mungu hajawai kataza kunywa pombe Bali ulevi, mbona amekataza ulafi pia lakini chakula tunakula? Kama wewe ni muislam sawa Baki na Imani yako na mm nabaki na Imani yangu