Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nimesema halali sababu inaliwa sijui ndio inanywewa mpaka makanisaniPombe sio halali kwa mkristo, usiongee vitu usivyovijua, muislamu akinywa pombe mnasema ni matakwa yake, kwann mkristo akinywa pombe mnasema ni halali na sio matakwa yake??
Pombe sio halali kwa waislamu lakini peponi kweny makazi ya Allah ipo, tena ni mito kabisa inayotiririka, inachekesha sana.
Sasa kama sehem ya ibada watu wanakunywa pombe maana yake inakua nn hapo
Huwezi kuta waislam wanakunywa pombe misikitini
Muislam akiamua kulewa kwamatakwa yake atakunywa huko anapopajua yeye
Sasa kama pombe mnasema haram halaf inanywewa ndani ya kanisa maana yake nini
Sijasema kwakusikia nimesema kwakuona watu kanisani wanakunywa pombe