Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ni muda kwa muislamu kuua ambaye si muislamu aliyekua jirani yake takbiiri allah akbarWewe ni mjinga sababu Qur'an haikushushwa kwa siku moja kama unavyo dhania wewe, na wajinga wenzako hizo Aya zilishuka kulikuwa reason flani wakati ule wa vita, sio amri kama unavyo dhania wewe, the above verse does not convey the general command of Islam. The truth of the matter is that the Qur'an was not revealed in the complete form in which it exists today.
It was revealed from time to time, according to the circumstances, sa kama ilikuwa inakusudia vile unavyo elewa wewe na wenginewe, basi ungeona Waislam kila kukicha wakiona Wakristo wanawaua tu, ndio mana waswahili walisema usikimbilie kukosoa kitu kabla hujakichunguza vizuri 😄