Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Wewe ni mjinga sababu Qur'an haikushushwa kwa siku moja kama unavyo dhania wewe, na wajinga wenzako hizo Aya zilishuka kulikuwa reason flani wakati ule wa vita, sio amri kama unavyo dhania wewe, the above verse does not convey the general command of Islam. The truth of the matter is that the Qur'an was not revealed in the complete form in which it exists today.

It was revealed from time to time, according to the circumstances, sa kama ilikuwa inakusudia vile unavyo elewa wewe na wenginewe, basi ungeona Waislam kila kukicha wakiona Wakristo wanawaua tu, ndio mana waswahili walisema usikimbilie kukosoa kitu kabla hujakichunguza vizuri 😄
Ni muda kwa muislamu kuua ambaye si muislamu aliyekua jirani yake takbiiri allah akbar
 
Sawa, afadhali kuliko kuabudu "a moon goddess"
Hahahaha tunaemuabdu sisi ni huyu, anajieleza mwenyewe, hahitaji kuelezewa na mtu:

Qur'an 112:
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
 
Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.

View attachment 2855198
Nilidhani kila mtu ana uhuru wa kuabudu huko!? Kumbe kama Afghanistan TU, ukiuacha Uislamu uNauawa! Aisee! Ukichaa huu, na ni kichaa pekee anayeunga mkono mauaji haya.
 
Moderator msimwache huyu huwezi kushabikia au kuhamasisha mauaji kisa kutofautiana mitazamo ya kidini, anastahili life ban
Hata Mimi nimeshangaa Aisee! Huu ni ushetani.
 
"Competition for natural resources between nomadic herders and farmers, intensified by rapid population growth and climate pressures, has also exacerbated social tensions and sparked violence"

Na hiyo ndio sababu kuu ya mauaji kutokana na chanzo cha habari husika. Ila kwa kua mleta uzi katafuta angle yake ya kuingilia kapata wafuasi wake wa kumfuata pasi na kufungua link aliyoileta.
Ila kupitia makosa ya mleta Uzi nimeweza kuwafahamu wendawazimu wachache humu ndani ambao wako tayari kuua wengine kisa TU hawafuati dini yao waliyorithi toka Kwa Mwarabu.
 
Hawa wakristo huwa wanapenda story za uwongo ikiwa Yesu wanamzulia ni Mungu wakati hizo hizo bibilia anawambia hakuna binadamu kawahi muona Mungu akaishi? Si bora hata wayahudi wao wanamgojea yule Masseh Dijal hawajamuona bado 😄 wakija muona anajicho moja katikati ndio watamini kweli yule ni Mungu sababu kutakuwa na njaa ukitaka chakula anakupa chakula ili upate kumuabudu 😄 We huoni Waisrael wanavyo wafungia chakula watu wa Gaza ndio hizo style za huyo mungu wao mtarajiwa.

Waislam peke ndio Mungu wanamfahamu Mungu wa kweli, alie umba kila kitu na asiye fananishwa wala kuzaa au kuzaliwa alikuwepo kabla ya kila kitu na ataendelea kuwepo bada ya kila kitu ndio atakaye tuhuku kwa mazuri na mabaya siku za hesabu.
Unawapangia watu nini cha kuamini!? Hiyo Sio kazi Yako Aisee!
 
Umewahi kuisoma japo tafsiri ya Qur'an ya Kiswahili?

Nipe ushahidi wa ililoandika. Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, hivi dini yako ni dhambi mtu kusema uongo, au kawaida tu? kama vile kulawitiana mnabarikiwa.
That's the reaction I was expecting from you.

This is not a lie, Vatican knows the whole truth, if you want the complete evidence, kawaulize Vatican wanakwambia kila kitu hadi jinsi khadija na waraquah walivowasaidia kumueka Muhammad sawa, na padre aliyetoa hii siri vatican walimwita ni kichaa, hajielewi na kila aina ya sifa mbaya walimpa ili tuu watu wasimsikilize na kumpuuzia kama walivowafanyia wakina John Huss na Martin Luther, walimtafuta na mwisho wa siku walimuua.

Uzuri wa dunia ni kwamba hauna siri, mambo yatafahamika tuu na ukweli juu ya Muhammad na Allah unafahamika.

I'm not your regular Christian, I know things, I know Christianity, I know Hindu, I know Shintoism, I know Islam, I know Greek and Norse mythology, I study religions critically.
Swala kama hilo la kujua kwamba the moon god Allah predates Islam na alikuwa anaabudiwa pale Mecca kabla hata Muhammad hajaanza kazi yake ni swala dogo sana kwangu.
 
Hahahaha tunaemuabdu sisi ni huyu, anajieleza mwenyewe, hahitaji kuelezewa na mtu:

Qur'an 112:
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
You have a very little knowledge of history my dear.
 
Leta Fujo hapa Tz utashughulikiwa ipasavyo ,
AlhamduliLlah wala hautaona Muislam ananzisha fujo hata siku moja, popote duniani.

Kumbuka tu, ukimuanza hakuwachi, kisasi kwa Waislam ni haki.
 
Vipi wauwe watu bila hatia hao si Waislamu hao ni wanatumia ushenzi wao kwa kusingizia Uislam.

Uislam ni din ya Amani
Uislam ni kansa kwa ustaarabu wa dunia ya leo.Mbona wengine hawajinasibu kuwa dini zao ni za amani kama wewe?
 
Pombe kwenye uislam haramu kwahio hua wanalewa kwa matakwa yao binafsi
Ila wakristo pombe inanywewa mpaka kanisani ambayo sehemu eti ya ibada
Maana yake kwa wakristo pombe halali
Kama wakristu wanalewa kanisani inaathiri vipi uislamu wako?
 
Wafe kwa kufakamia mipombe mseme wameuliwa na Waislam.

Si ndiyo zenu hizo? Wala sikushangai. Pambana na Alshabab huko, vipi nasikia wamechukuwa nchi wanaongoza wao. Wamarekani sasa wanaanza kukosa pesa za kuwalipa wakenya, mtajiondowa sasa hivi huko au mtakuwa kitoweo cha fisi wa Somalia.

Unajuwa idadi ya vifo Tanzania Kuanzia Tarehe 20 December mpaka Tarehe 2 January inayosababishwa na kufakamia mipombe huwa kubwa kuliko hiyo?

kaulize mochwari ya jirani yako tu, upewe figures.

Tena mwaka huu vifo vimezidi mpaka watu wameanza kujitetea eti pombe feki nyingi. Iwe au isiwe feki, pombe ni pombe tu.
Magaidi ya Kiislamu yamewaua
 
Back
Top Bottom