- Thread starter
- #21
Ni kweli katika halinya kawaidaShetani kwa mujibu wa maandiko ndio mkuu wa anga! Hatuna ukamilifu wa kimungu kuweza kuyakataa ya shetani katika uhalisia wake kwakuwa tumejawa na tamaa ulafi na ubinafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzio choo chake hakibaki nchi za nje!! Mfumo wa majitaka kwenye hoteli anayofikia lazima ufanyiwe matengenezo, kinachotoka mwilini mwake kinaelekezwa kwenye tenki maalumu na wanarudi nayo hadi korea ya kaskazini!Kama anaenda chooni kama mimi, hizo ni mbwembwe tu!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app