FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Habarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.