Wakubwa mje mfafanue hili jambo sijalieelewa

Wakubwa mje mfafanue hili jambo sijalieelewa

Za kuambiwa changanya na zako
Wakat mwema mkuu plus maamuzi mazuri for your future!!!!!!!
 
Mwanamke hawezi kukuomba nguo uliyoivaa na hauna mahusiano nae,

Sana sana atakusifia tu hii tshirt nimeipenda na atakuuliza umeinunulia wapi?

Hii story yako inaonekana ni Chai,ila kama sio chai basi wewe na huyo Binti,wote mna tatizo kichwani.
Aliniomba nikampa hatuwezi kuwa nae kimahusiano ni mdogo wa ex wangu namchukulia kama mdogo wangu ila kinachonitatiza niliyompa hakuwahi kuivaa
 
mi naona anakuona boya tu na mtu wa misifa mbele ya mademu ni kawaida yao wakimuona mtu wamisifa hufanya hivyo kingine hata kama huamini uchawi uchawi upo ,ushirikina huo ndo unasababisha hata kina didy wanalawitiana, jiandae kuchukuliwa nyota na hata kulogwa
 
mi naona anakuona boya tu na mtu wa misifa mbele ya mademu ni kawaida yao wakimuona mtu wamisifa hufanya hivyo kingine hata kama huamini uchawi uchawi upo ,ushirikina huo ndo unasababisha hata kina didy wanalawitiana, jiandae kuchukuliwa nyota na hata kulogwa
Sina misifa Wala sio mtu available na accessible mda mwingi I don't know how she think about me
 
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Mpe sisi ndo tulimtuma hapa kilingeni ,,Ile ya kwanza tulitumia kukuloga ww ili uwe mjinga na tukafanikiwa sasa hii tunataka kuloga ukoo wako wawe wajinga kama ww wa kuvua nguo na kuwapa watu
 
Mpe sisi ndo tulimtuma hapa kilingeni ,,Ile ya kwanza tulitumia kukuloga ww ili uwe mjinga na tukafanikiwa sasa hii tunataka kuloga ukoo wako wawe wajinga kama ww wa kuvua nguo na kuwapa watu
Duh!
 
Chunguza viziri hapo mtaani kuna mwamba atakua anaivaa hiyo T shirt
 
Akuna point ni personal attacks na ego mmeonyesha changieni ya kueleweka acheni kujifanya superior
Unapoanzisha uzi wa kutaka ushauri,watu watatoa ushauri wao kwa mitazamo yao na experience zao,upo utakaokupendeza na upo ushauti ambao wewe utakaoona ni attack kwa uelewa wako,unatakiwa uwe tayari kwa michango yote,

Mtu akuonee ego kwa kugawa T shirt?
 
Akuna point ni personal attacks na ego mmeonyesha changieni ya kueleweka acheni kujifanya superior
Kijana dalili moja kuonyesha wewe bado mtoto ni kutuita wakubwa tuje tukusaidie,
Sasa tunakwambia hayo mambo ni Utoto tu, hakuna cha maana mnafanya hapo..

Unahisi tunakuona mwanaume jinsi unavyohold na kureact kwa huyo demu, vile unajizuia kuto sex na huyo sijui rafiki yako , clasmate i dont know!! Umri huu maranyingi Rolemodel hua anakua msanii wa hiphop , umemtaja hapo "Conboi" 😆😆 au movie actor,
Lazima atakuwa ni "Denzel Newton" 😆😆😆

Kwanza umesema alikuita kwao [Ukaenda], kama huna Interest nae sa kwanini ukaenda? Then kwanini uvue T-shirt urudi home na vest?
Utoto tu, kama ziko nyingine mpelekee nazo, mpe tu 😆😆😆

Hakuna personal attack, wewe umetarajia tujibu "Wewe ni mgumu sana", "Wewe ni mwanaume" 😆😆

Nachoshukuru kumbe unajua kingereza 👇👇
Screenshot_20240930-101533~2.jpg


Wewe unataka approval tukwambie upige au ubwage!!

Ushauri wangu "Huyo piga mzigo" if its real, ila zingatia Afya [kinga] na jitahidi sana kujizuia Mimba za utotoni zisizotarajiwa mkuu!!

Utavyokua mkubwa utashukuru kwa akili utayoitumia sasa kuepuka mimba na magonjwa ama utajutia kwa makosa utayoyafanya ...


Screenshot_20240930-101355.jpg

Mna mihemko ila mnaogopana, Tumepita huko!! 😆😆

Im Genius, im sure 🧠
 
Back
Top Bottom