Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu Utoto Raha SanaKifupi hapa JF watu wa aina hiyo hua tunawaambia Utoto raha sana.
Aliniomba nikampa hatuwezi kuwa nae kimahusiano ni mdogo wa ex wangu namchukulia kama mdogo wangu ila kinachonitatiza niliyompa hakuwahi kuivaaMwanamke hawezi kukuomba nguo uliyoivaa na hauna mahusiano nae,
Sana sana atakusifia tu hii tshirt nimeipenda na atakuuliza umeinunulia wapi?
Hii story yako inaonekana ni Chai,ila kama sio chai basi wewe na huyo Binti,wote mna tatizo kichwani.
Sawa Genius 👏Sizani kama una point ya mashiko
Kwa stage uliyopo kwa sasa,huwezi kuiona point hapo ila kadiri unavyokua,utakuja kuiona na kuikumbuka hiyo point,Sizani kama una point ya mashiko
Sio kweli, kijana bado yupo kwenye umri wa ushamba wa mademu.Kaelewa kuwa wewe ni shoga.
Akuna point ni personal attacks na ego mmeonyesha changieni ya kueleweka acheni kujifanya superiorKwa stage uliyopo kwa sasa,huwezi kuiona point hapo ila kadiri unavyokua,utakuja kuiona na kuikumbuka hiyo point,
Wakubwa tumeshaiona point hapo.
Sina misifa Wala sio mtu available na accessible mda mwingi I don't know how she think about memi naona anakuona boya tu na mtu wa misifa mbele ya mademu ni kawaida yao wakimuona mtu wamisifa hufanya hivyo kingine hata kama huamini uchawi uchawi upo ,ushirikina huo ndo unasababisha hata kina didy wanalawitiana, jiandae kuchukuliwa nyota na hata kulogwa
Mpe sisi ndo tulimtuma hapa kilingeni ,,Ile ya kwanza tulitumia kukuloga ww ili uwe mjinga na tukafanikiwa sasa hii tunataka kuloga ukoo wako wawe wajinga kama ww wa kuvua nguo na kuwapa watuHabarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Una akili ndogo sana aisee unavua nguo unabakiwa na vest unampa mtu? Tena wa kike ? Nguo uliovaa usipende kuwapa watu kabsaa kama mtu ana shda mpe pesa akanunue ,, sku akili zkikaa sawa utapevukDuh!
Unapoanzisha uzi wa kutaka ushauri,watu watatoa ushauri wao kwa mitazamo yao na experience zao,upo utakaokupendeza na upo ushauti ambao wewe utakaoona ni attack kwa uelewa wako,unatakiwa uwe tayari kwa michango yote,Akuna point ni personal attacks na ego mmeonyesha changieni ya kueleweka acheni kujifanya superior
Kijana dalili moja kuonyesha wewe bado mtoto ni kutuita wakubwa tuje tukusaidie,Akuna point ni personal attacks na ego mmeonyesha changieni ya kueleweka acheni kujifanya superior