Wakubwa mje mfafanue hili jambo sijalieelewa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
 
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio Ile Sana Kwa upande wangu ni Hawa watoto wa 2000's
Uyu dogo Kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa t-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu Sana Jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa t-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa Sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile t-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi Toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo
Wakati Unampa unajionaga wewe nani? Kaka yake au bahresa?
 
Alimpelekea mchepuko wake.
 
usichoke endelea kusaidia wahitaji,muda c mrefu utaona msela wa mtaa wapili kavaa GUCCI
 
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio Ile Sana Kwa upande wangu ni Hawa watoto wa 2000's
Uyu dogo Kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa t-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu Sana Jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa t-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa Sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile t-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi Toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo
Unaonekana bado kijana mdogo, posibly upo early 20s. Katika huo umri wako usipoteze muda, nguvu au rasilimali kumfurahisha mwanamke.

Kuwa mbinafsi elekeza akili kwenye mipango yako, tafuta kipawa chako, jaribu mambo mapya, ongeza ujuzi, anzisha mradi, zingatia masomo n.k

Unaweza ukaona hicho unachompa ni kidogo lakini ivyo ivyo kidogo kidogo ukitoa kwa wengi kinakua kikubwa.

Mwanamke wa age yako sio mwenzako uyo tayari ameshafanikiwa kuzidi wewe, kuna wanaume wengi ambao wamejitapa wanaweza kumuokoa lakini wewe kama mwanaume hakuna wa kukuokoa.
 
Sawa apo nimekupata
 
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Kaelewa kuwa wewe ni shoga.
 
Huyo anakuita kwaoo afu anakuomba tshet na wewe hujiongezi kuwa ni mtego huoo kimbia gonjwa hilo zinaa sio sifa
 
Unaonekana bado kijana mdogo, posibly upo early 20s. Katika huo umri wako usipoteze muda, nguvu au rasilimali kumfurahisha mwanamke.

Kuwa mbinafsi elekeza akili kwenye mipango yako, tafuta kipawa chako, jaribu mambo mapya, ongeza ujuzi, anzisha mradi, zingatia masomo n.k

Unaweza ukaona hicho unachompa ni kidogo lakini ivyo ivyo kidogo kidogo ukitoa kwa wengi kinakua kikubwa.

Mwanamke wa age yako sio mwenzako uyo tayari ameshafanikiwa kuzidi wewe, kuna wanaume wengi ambao wamejitapa wanaweza kumuokoa lakini wewe kama mwanaume hakuna wa kukuokoa.
Point ipo hapa mtoa mada msikilize huyu mkuu
 
FB_IMG_17273956652670370.jpg
 
Mwanamke hawezi kukuomba nguo uliyoivaa na hauna mahusiano nae,

Sana sana atakusifia tu hii tshirt nimeipenda na atakuuliza umeinunulia wapi?

Hii story yako inaonekana ni Chai,ila kama sio chai basi wewe na huyo Binti,wote mna tatizo kichwani.
 
Back
Top Bottom