Wakubwa mje mfafanue hili jambo sijalieelewa

Nyie watoto wa 2000 kweli mnazingua. Ndio swali la kuja kuuliza hapa hilo?. Kusoma hujui hata picha inakusumbua?. Ndio nyie hata ukipelekewa ghetto unaanza kumfundisha kucheza Last card.
 

Na bado atataka na roho yako
 
Madogo weng wa sku hz ni wanaharamu yani wa nje ya ndoa kimombo BASTARD.

Senga's voice BASKETBALL
 
Hongera na ahsante kwa kusaidia jamiami
 
Hakuna nilipokataa ushauri ila nmekataa mshauri kuwa mjuaji
Apper human and approachable acha ujuaji kaka
 
Nmekuelewa
 
Kula mzigo huo!!, acha habari za cabbinho... Ye mwenyewe anapenda totoz!!
 
😂😂😂Inatafutwa kwenye mtandao mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…