Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Nyie watoto wa 2000 kweli mnazingua. Ndio swali la kuja kuuliza hapa hilo?. Kusoma hujui hata picha inakusumbua?. Ndio nyie hata ukipelekewa ghetto unaanza kumfundisha kucheza Last card.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Na bado atataka na roho yako
Hongera na ahsante kwa kusaidia jamiamiHabarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Hakuna nilipokataa ushauri ila nmekataa mshauri kuwa mjuajiUnapoanzisha uzi wa kutaka ushauri,watu watatoa ushauri wao kwa mitazamo yao na experience zao,upo utakaokupendeza na upo ushauti ambao wewe utakaoona ni attack kwa uelewa wako,unatakiwa uwe tayari kwa michango yote,
Mtu akuonee ego kwa kugawa T shirt?
NmekuelewaKijana dalili moja kuonyesha wewe bado mtoto ni kutuita wakubwa tuje tukusaidie,
Sasa tunakwambia hayo mambo ni Utoto tu, hakuna cha maana mnafanya hapo..
Unahisi tunakuona mwanaume jinsi unavyohold na kureact kwa huyo demu, vile unajizuia kuto sex na huyo sijui rafiki yako , clasmate i dont know!! Umri huu maranyingi Rolemodel hua anakua msanii wa hiphop , umemtaja hapo "Conboi" [emoji38][emoji38] au movie actor,
Lazima atakuwa ni "Denzel Newton" [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanza umesema alikuita kwao [Ukaenda], kama huna Interest nae sa kwanini ukaenda? Then kwanini uvue T-shirt urudi home na vest?
Utoto tu, kama ziko nyingine mpelekee nazo, mpe tu [emoji38][emoji38][emoji38]
Hakuna personal attack, wewe umetarajia tujibu "Wewe ni mgumu sana", "Wewe ni mwanaume" [emoji38][emoji38]
Nachoshukuru kumbe unajua kingereza [emoji116][emoji116]View attachment 3110988
Wewe unataka approval tukwambie upige au ubwage!!
Ushauri wangu "Huyo piga mzigo" if its real, ila zingatia Afya [kinga] na jitahidi sana kujizuia Mimba za utotoni zisizotarajiwa mkuu!!
Utavyokua mkubwa utashukuru kwa akili utayoitumia sasa kuepuka mimba na magonjwa ama utajutia kwa makosa utayoyafanya ...
View attachment 3110991
Mna mihemko ila mnaogopana, Tumepita huko!! [emoji38][emoji38]
Im Genius, im sure [emoji3447]
Wote watoto 😂sa ndo nini jamani 🥹🥹🥹
miongozo ya fb hii kaombe ushauri huko fb
👍🏽Nmekuelewa
I appreciate too Ibn Unuq
😂😂😂Inatafutwa kwenye mtandao mzeeHabarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Sawa!!Siwezi najiheshimu Sana mkuu