The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Nini maana ya ujuaji? Unapomwambia mtu aache ujuaje una maanisha nini? aache ujuaji ili aanze kutokujua?Hakuna nilipokataa ushauri ila nmekataa mshauri kuwa mjuaji
Apper human and approachable acha ujuaji kaka
Habarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Aliniletea mm..kama zawadi pamoja na pafyum gucc ya kakiHabarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Hakuna ubaya mpwaKuna ubaya ?
Si kamuulize mkuu,we bint kwanini unaniomba.Sio shida kwangu shida ni kwanini aniombe?
Kuna sehemu nimesema ni demu wako?Sio demu wangu sasa iweje nijue mchepuko wake?
Kaipenda na aliwish ampendae avae nae apendeze, hela ya kununua hana.Sio shida kwangu shida ni kwanini aniombe?
peleka moto acha ubwegeHabarini za asubuhi
Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua
Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
Ee bwana umeuliza swali la muhimu sana kunywa bia popote ulipo?Wakati Unampa unajionaga wewe nani? Kaka yake au bahresa?
Bonge la swaliWakati Unampa unajionaga wewe nani? Kaka yake au bahresa?