Wakubwa mje mfafanue hili jambo sijalieelewa

Hakuna nilipokataa ushauri ila nmekataa mshauri kuwa mjuaji
Apper human and approachable acha ujuaji kaka
Nini maana ya ujuaji? Unapomwambia mtu aache ujuaje una maanisha nini? aache ujuaji ili aanze kutokujua?

Ni jambo gani nimeliandika,wewe ukalitafsiri kua ni "Ujuaji?"
 
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
 
Attachments

  • 20240930_120122.jpg
    20240930_120122.jpg
    171.3 KB · Views: 1
A

Aliniletea mm..kama zawadi pamoja na pafyum gucc ya kaki
 
We kamuulize mwenyewe kwanini akuombe nguo? Atakachokujibu ndiyo jibu sahihi sisi unatupatia mtihani tu.
 
Habarini za asubuhi

Wakuu nipo hapa kuuliza kitu ambacho kina nitatiza kichwani Kuna dogo mmoja (Binti)
Tumezoeana ni marafiki kiasi japo sio ile sana Kwa upande wangu ni hawa watoto wa 2000's
huyu dogo kuna siku aliniita kwao nilipofika akadai amependa T-shirt langu la Gucci nikavua nikampatia nikabaki na vest kama conboy "kanabino" Kwa mnaomjua

Kuna siku aliniita nika ignore kwenda alilaumu sana jana kaniona kaniita nilikuwa nimevaa T-shirt zile zinaitwa form six rangi ya khaki kaniambia kaipenda nimpatie nilikuwa sina vest ndani nikamwambia nitakuletea ila msingi wa swali langu Ile T-shirt ya mwanzo GUCCI sijawahi kumuona akiwa ameivaa ni miezi mingi toka nimempatia sasa napata ukakasi kumpa na hii nyingine naombeni muongozo.
peleka moto acha ubwege
 
Back
Top Bottom