Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Tena hebu mpe kazi kijana mwenzako, au mchangie chochote cha kumsukuma, mpaka atakapopata kazi. Pombe haramu tena kumpa tajiri kama wewe ni dhami. πŸ˜…
Madam kama sio matusi mimi utajiri niutolee wapi ? Kiufupi tu mimi ni maskini jeuri ambae nakula kwa jasho langu kibingwa sana kwa sababu siamini kwenye kushindwa kwa chochote .
 
Kumbe umesoma IT, daa
 
Mpaka umekua mkubwa wa kuweza kuomba pesa ya kula siku moja humu , hapo mwanzoni ulikua unakula wapi?
Meku hebu mwache mwenzako, maswali kama Bungeni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… huwezi mpa ya siku moja. Pia labda alisema hivyo ili huruma ikushike. Hayo yamepita, tumuombee kazi kijana. Maana tutabaki hapa na lengo halitafikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…