hapana sina mchezo wowote wa kutafuta hela ya bure humu, kipindi kile nilikua bado nipo kazini japo Mambo yalikua yashaanza kuyumba. na sijawahi pokea hela yoyote humu. Nimekutag kama appreciationIla kitu kingine Yote mema inaonyesha una ID nyingine, maana hiyo kabla na baada ya hapo sikuiona popote humu. Usije kuwa hii ID unaifanyia michongo.
Unajua, sikukubali haraka mpaka uliposema hata pesa ya kula siku hiyo huna. Kama una ID nyingine acha michezo, kama ni hii tu huwa huitumii sawa, Mungu anisamehe kukuwazia tofauti. Nakutakia mafanikio, unaloomba likawe.
NAKUPENDApoa za kwako
Kuna skills ndogo ndogooo za muhim sana vijana wengi wanakosaa. Usitegemee kupewa kazi kwa kuonewa huruma juu ya shida zako. Wapo wenye shida kuzid. Weka sifa zako,na eleza value you think you will bring, uza hizo watu wakiangalia hizo watakua wanakulinganisha na post walizo naO kama zipo.Eti Pesa ya bantu lady ndio reference ya kuombea pesa na kazi
Kijana apate kazi tu , kina Tlaatlaah na wenzake tuliwaombea kazi tumekuja ambulia matusi baada ya kuwakonecti kwenye waya wa buku saba saba za mama🤔Meku hebu mwache mwenzako, maswali kama Bungeni 😅😅😅 huwezi mpa ya siku moja. Pia labda alisema hivyo ili huruma ikushike. Hayo yamepita, tumuombee kazi kijana. Maana tutabaki hapa na lengo halitafikiwa.
Nimechacha, nimetoka Morocco kukabidhi kombe 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣 poleni hukutokea kwanini?Naomba afu' mbili Babe...
Nipoze machungu ya J2🤣
Naomba hela kwanza ndio nikujibu kama nakupenda pia😃😃😃NAKUPENDA
Emu hii Resume/CV inyooshe vizuri kidogo halafu andika kwa kutulia hata km umebanwa na njaa andika kumvutia hata anaesoma weka aya na paragraph zako vizuri, usiwewesekekwa upande wa professional
System administrator
Database administrator . Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Namba yangu 0754407408
Sasa Morocco imeingiaje tena lakini?🤣Nimechacha, nimetoka Morocco kukabidhi kombe 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣 poleni hukutokea kwanini?
Yaan akupe hela kwanza ndio uvue Chupi? Hili swali la kichokozi unajua lakini ni la utani pia kwa hio usichukie kuulizwaNaomba hela kwanza ndio nikujibu kama nakupenda pia😃😃😃
NIngekushauri, kipindi hiki ambacho huna kazi. Jitahidi uombe kazi yoyote. Nami kwa upande wangu, najaribu kuangalia kama kuna mtu atakuwa na kazi upate. Naelewa kwa kija kuwa huna kazi, usiache kuomba kwa Imani yako. Ulisema uko Dar?hapana sina mchezo wowote wa kutafuta hela ya bure humu, kipindi kile nilikua bado nipo kazini japo Mambo yalikua yashaanza kuyumba. na sijawahi pokea hela yoyote humu. Nimekutag kama appreciation
Mboni umepungua?Sasa Morocco imeingiaje tena lakini?🤣
sawa mkubwaKuna skills ndogo ndogooo za muhim sana vijana wengi wanakosaa. Usitegemee kupewa kazi kwa kuonewa huruma juu ya shida zako. Wapo wenye shida kuzid. Weka sifa zako,na eleza value you think you will bring, uza hizo watu wakiangalia hizo watakua wanakulinganisha na post walizo naO kama zipo.
Ila ukilia lia shida, ndio hiv, wabantu watakupa hela kwasababu wamekuonea huruma, then what??????
Mhmmmm kombe kombe, bi mkubwa nimemkatia huduma ya bia mbili kila siku hapo kwa mangi kisa huu utopolo wa kombe🚮Nimechacha, nimetoka Morocco kukabidhi kombe 🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣 poleni hukutokea kwanini?
ndio nipo darNIngekushauri, kipindi hiki ambacho huna kazi. Jitahidi uombe kazi yoyote. Nami kwa upande wangu, najaribu kuangalia kama kuna mtu atakuwa na kazi upate. Naelewa kwa kija kuwa huna kazi, usiache kuomba kwa Imani yako. Ulisema uko Dar?
Muulize anaweza kuchomelea mageti au kupasua magogo na Chainsaw?NIngekushauri, kipindi hiki ambacho huna kazi. Jitahidi uombe kazi yoyote. Nami kwa upande wangu, najaribu kuangalia kama kuna mtu atakuwa na kazi upate. Naelewa kwa kija kuwa huna kazi, usiache kuomba kwa Imani yako. Ulisema uko Dar?
Yote mema Tunaomba jibu.Muulize anaweza kuchomelea mageti au kupasua magogo na Chainsaw?
Hahaha kijana kajaa kwenye kumi na nane za binti yangu safi sana😅😅😅😅Naomba hela kwanza ndio nikujibu kama nakupenda pia😃😃😃
Unapotafuta kazi hiki kipengele hakikisha unakiruka au usikiweke hiki kipengele, wale wanaojaza ajiraportal kule anapopandisha mpaka mavyeti ya Masters wakati ana vyeti vya Diploma na amevipandisha zikitoka kazi za Diploma system linamkataa sababu alishapandisha Cheti cha Masters japokua anacho cheti cha Diploma ila system linamkataa sababu hapo alisema kazi yoyote nafanyaKazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.