Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Hivi humu kuna watu wanahitaji msaada kweli mi niliwahi kumsaidiaga kenge mmoja yule mtu baada ya hapo akabadili na ID kabisa ila alinipa funzo kubwa sana.
 
HahahaπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚,. Nasubiri ajibu kwanza nimpe control namba aklie rejesho ndio nipate hisia za kupendanaπŸ₯°πŸ₯°
Sio upate hisia za kuvua Samaki?
 
HahahaπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚,. Nasubiri ajibu kwanza nimpe control namba aklie rejesho ndio nipate hisia za kupendanaπŸ₯°πŸ₯°
Hakuna neno nilisha tamka la kupenda humu , hili nakua makini kisa kutoa pesa ambazo sina na sitakaa niwe nazo🀣
 
Hakuna neno nilisha tamka la kupenda humu , hili nakua makini kisa kutoa pesa ambazo sina na sitakaa niwe nazo🀣
unahisi vijana wanawaza hayo sasaπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna siku nilimskia kijana anasema kuna mdada kamwomba amkopeshe 50k akamwambia aifate geto,. nikamuuliza sasa ukishamkula hiyo hela atakulipa kweli??

Vijana hawawazi hata kama kuna kufa maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…