secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Unawaogopa Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable mbona hujawatag mkuu?Kijana apate kazi tu , kina Tlaatlaah na wenzake tuliwaombea kazi tumekuja ambulia matusi baada ya kuwakonecti kwenye waya wa buku saba saba za mama🤔
Samahani,kwenye hiyo picha hapo ni wewe?Jamani siamini watu humu wote, kuna mmoja atakosa hata kazi ya kujishikiza. Humu tu kama ndugu, ajitokeze mmoja amshike mkono kijana. Mwenyezi Mungu atamlipa zadi, ndiyo dhawabu zenyewe hizi.
Mke wangu always ananipa vinono bila masharti so nyege nimezikimbiza kilometers nyingi 😁🤓Yeah mtu yeyote mwenye akili timamu lazima awaze kuhusu kesho,. hatakama unachokipata ni kidogo
Lakini kuna vijana wameweka tamaa mbele kiasi kwamba hawathamini hela mbele ya zinaa
Kwa tunaofahamu how sadaka zina work out tumekuelewa mama la mama😘🥰,..Natoa maana sadaka kwangu huwa inanifungulia Neema nyingi ila mpaka tuonane nihakikishe huyu kweli ni mhitaji sio ki Jf nitoe msaada imeishia kwa yule tapeli.
Kaka habari za Kenya...natumia u mzimaaaUnawaogopa Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable mbona hujawatag mkuu?
Kumbuka nao tuliwasaidia sana humu ndani lakini tizama...
Tizama...
hahah na hilo ndio la msingi😄😃😅Mke wangu always ananipa vinono bila masharti so nyege nimezikimbiza kilometers nyingi 😁🤓
OK usijali nimesikiliza maoni yako bwasheeNimeona hapo sasa nakuona maana nilikua naona umebonyeza like ila nikiangalia sikuoni mpaka ikabidi nitulie nijiulize mjinga gani ananifanyia michezo ya kihuni ikabidi nisogee nizoom jina nikaona umeondoa avatar
Kama una imani omba kwa huyo unayrmuamini ni changamoto sana kuamka asubuhi huna cha kufanyaNimwombe nani yasinikute?
Mkuu mimi siombi nasikosi cha kufanya na hautanisikia kwamwe na kosa pesa ya pombe na mambo yangu mengineKama una imani omba kwa huyo unayrmuamini ni changamoto sana kuamka asubuhi huna cha kufanya
Mkuu wewe msamehe tuu, kama una namna wewe msaidie, maana kila kitu huanza na moja na mbili yake huwezi jua itakuwa niniWatanzania wengi ni viazi mtu anatumia sababu za kijinga kabisa kupata kazi just imagine
Nafurai kusikia ivyoNipo kaka, majukumu ya ki jobless pro max ndio yanayo to tuweka bize
Basi sawa. Ubarikiwe sana mkuuMkuu mimi siombi nasikosi cha kufanya na hautanisikia kwamwe na kosa pesa ya pombe na mambo yangu mengine
usijali mpenziNdio ufanye kweli sasa,.
Nitakuanzishia siledi au we hutaki😁😁
Sina namna , mimi na yeye hatuna tofauti ila yeye kaamua kulia lia mimi napambana na mwanzo mdogo wa pumnzi niliyonayo🤔Mkuu wewe msamehe tuu, kama una namna wewe msaidie, maana kila kitu huanza na moja na mbili yake huwezi jua itakuwa nini
Hili jibu nimelichoka,. nataka uniambie nikupe Account namba😒😒usijali mpenzi
Niko bomba nakimbizana na maisha si unajua ukiwa wa kiume hakuna cha bure.Kaka habari za Kenya...natumia u mzimaaa
Hakuna wa kunibariki kama nisipo toka maghetoni gademiiit 🤣Basi sawa. Ubarikiwe sana mkuu