Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Wengi wako hivyo kipenzi, yaani hutokaa umuone, hata ahsante hutoipata. Unajitoa tu kwaajili ya Mungu wako.Hivi humu kuna watu wanahitaji msaada kweli mi niliwahi kumsaidiaga kenge mmoja yule mtu baada ya hapo akabadili na ID kabisa ila alinipa funzo kubwa sana.
Hakuna bureee kwa mwanaume inabidi kujitumaaaNiko bomba nakimbizana na maisha si unajua ukiwa wa kiume hakuna cha bure.
Hakika mkuu, mchumia juani hulia kivulini 😎.Hakuna bureee kwa mwanaume inabidi kujitumaaa
🙏AmenHakika mkuu, mchumia juani hulia kivulini 😎.
ChoiceVariable ni chawa mwerefu kwa kiasi chakeUnawaogopa Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable mbona hujawatag mkuu?
Kumbuka nao tuliwasaidia sana humu ndani lakini tizama...
Tizama...
Kaka una mkanyaga Sana🤔Sina namna , mimi na yeye hatuna tofauti ila yeye kaamua kulia lia mimi napambana na mwanzo mdogo wa pumnzi niliyonayo🤔
Yeah, ni chawa fulani anayekuja kwa timing kidogo, haji mzima mzima kama akina Luka.ChoiceVariable ni chawa mwerefu kwa kiasi chake
Nahisi machawa wa namna hii wanalipwa ghali zaidi 🤔Yeah, ni chawa fulani anayekuja kwa timing kidogo, haji mzima mzima kama akina Luka.
Wajinga wajinga kama hawa mimi na kanyaga tu , watu tumeosha mpaka vibibi vya kizungu ma masters zetu sembuse huyu mbwiga mvivu🤔Kaka una mkanyaga Sana🤔
Mh! nakuja kukupa cash mama tuliza kizazi tuHili jibu nimelichoka,. nataka uniambie nikupe Account namba😒😒
Hawa mchawa ni noma sana mkuu.Nahisi machawa wa namna hii wanalipwa ghali zaidi 🤔
sawa tajiriii😋😄😄Mh! nakuja kukupa cash mama tuliza kizazi tu
Basi kaka, uta mpa mawazo zaidiWajinga wajinga kama hawa mimi na kanyaga tu , watu tumeosha mpaka vibibi vya kizungu ma masters zetu sembuse huyu mbwiga mvivu🤔
Ukiona mtu anarudia kuomba ujue ndo tabia yake. Angeishia kuomba kazi tuu ningemwelewa.Sijafanya kwa nia mbaya, wewe hujui ya humu ndani. Kanitag hapo, ikitokea tofauti mtaniingiza kuwa nami ni tapeli. Kuna kijana aliomba tumchangie rafiki yake ada. Nikatag watu, ilibaki kidogo nitume, kumbe yule kijana alitaka pesa yeye na mods wakaufuta ule uzi. Humu ni msitu, na sidhani kama atakuwa na shida, akisema ina shida nitafuta, utafuta ulichoniquote. Nimekuelewa.
Ndg yangu naomba buku nikale ugali,Nilitaka kusema pia nikamezea 😁🤓
Nitumie namba ya Bantu Lady PM una 10k yako.Habari wana jamii forum,
niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa.
Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata.
Humu jamii forum kuna watu wana moyo sana, Nakushukuru sana Bantu Lady uliwahi kunitumia pesa nakushukuru sana Mungu akuzidishie naombeni kazi au connection ya kazi jamani nitakufa.
kwa upande wa professional
System administrator
Database administrator . Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Namba yangu 0754407408
Bantu Lady
Mshana Jr
uttoh2002
Pole sijawahi mtumia mtu kwa namba ya simu. Huwa natumia mawakala hata siwajui wa sehemu tofauti tu manjiani huko au naomba mtu tu atume kwa wakala sehemu alipo ya mbali. Protocal inazingatiwa.Nitumie namba ya Bantu Lady PM una 10k yako.
Ingia website ya ajira portal huko maa anamwaga maelfu ya ajira daily.Habari wana jamii forum,
niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa.
Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata.
Humu jamii forum kuna watu wana moyo sana, Nakushukuru sana Bantu Lady uliwahi kunitumia pesa nakushukuru sana Mungu akuzidishie naombeni kazi au connection ya kazi jamani nitakufa.
kwa upande wa professional
System administrator
Database administrator . Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Namba yangu 0754407408
Bantu Lady
Mshana Jr
uttoh2002