Wakubwa tujadili

Wakubwa tujadili

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Inaendaje hii. Wanaume mtupe muongozo

Kila mtu ana namna ya kuendesha maisha yake na familia yake. Kwake yeye anaona hiyo ni sawa. Hivyo siyo lazima watu wote wafuate namna anavyotaka yeye.
 
Mimi naunga mkono gender equity/justice, siamini kama mwanamke ni mtu wa kukaa ndani tu, kama ana uwezo wa kufanya kazi na anataka, kwanini umzuie??
 
Mimi naunga mkono gender equity/justice, siamini kama mwanamke ni mtu wa kukaa ndani tu, kama ana uwezo wa kufanya kazi na anataka, kwanini umzuie??
Yaani mnataka tukae ndani kama mapicha ya ukutani kweli?? Na uwezo wa kufanya kazi na kuingiza kipato japo kidogo upo..... BIG NO.
 
Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!

Ukimuacha mke huru yaan akafanye kazi, lazima sehemu ya uanaume wako upunguze ili maisha ya ndoa yaende sawa!

Ndoa nyingi zenye migogoro ni za wafanya kazi, kwa nini? Kwa sababu wote wapo level moja.

Kwa wanaofanyakazi na wanapatana ujue kuna mmoja kakubali kuwa lofa!! Kashusha baadhi ya mambo especially mwanaume kuamua kupunguza uanaume wake!!
 
Mimi naunga mkono gender equity/justice, siamini kama mwanamke ni mtu wa kukaa ndani tu, kama ana uwezo wa kufanya kazi na anataka, kwanini umzuie??
Na kukaa ndani kwa mwanamke sio kutokufanya kazi ila ni kufanya kazi za familia yake usiku na mchana....
Mwanamke anayefanya kazi ya kujiajiri au kuajiriwa pia anao uwezo wa kuifanyia kazi familia yake hata awapo kazini. Kwanza anafanya kazi ya kuhakikisha familia yake iko salama na kila kinachotakiwa kinafanyika kwa wakati, na pia anaongeza kipato cha familia kwa ujira anaopata
 
Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!

Ukimuacha mke huru yaan akafanye kazi, lazima sehemu ya uanaume wako upunguze ili maisha ya ndoa yaende sawa!

Ndoa nyingi zenye migogoro ni za wafanya kazi, kwa nini? Kwa sababu wote wapo level moja.

Kwa wanaofanyakazi na wanapatana ujue kuna mmoja kakubali kuwa lofa!! Kashusha baadhi ya mambo especially mwanaume kuamua kupunguza uanaume wake!!

Dah Sentence ya mwisho hiyo......
Ngoja tusikie
 
@mama D upo ndugu yangu?
Nipo Mzee wa Kasumba
Nimekutana na vijana wa kike na wa kiume wanaotaka wote wafanye kazi ya kuajiriwa lakini hapohapo wale wa kike wanataka wanataka wahudumiwe kila kitu na mishahara yao wasiulizwe
 
Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!

Ukimuacha mke huru yaan akafanye kazi, lazima sehemu ya uanaume wako upunguze ili maisha ya ndoa yaende sawa!

Ndoa nyingi zenye migogoro ni za wafanya kazi, kwa nini? Kwa sababu wote wapo level moja.

Kwa wanaofanyakazi na wanapatana ujue kuna mmoja kakubali kuwa lofa!! Kashusha baadhi ya mambo especially mwanaume kuamua kupunguza uanaume wake!!
Mkuu.Mi mwenyewe hapa nakula wima japo mke si mfanyakazi,
 
Nipe hela ,nipe tu.
Chench ibaki nyingi tu.

Ila ndani sitakaa, na sikai na hela tu inabidi unipe tu.
 
Dunia imebadilika, mwanamke kama ana uwezo wa kufanya kazi ni jambo sema maana atachangia kipato cha familia.
 
Huu ni ujinga katika ubora wake.wanawake ndiyo wafanisi zaidi kwenye sector za maendeleo halafu huyu anatueleza mambo ya kijinga.

Umemuona mama Samia Suluhu wewe,Doroth Gwajima unamjua wewe? yaani hawa wakae nyumbani siyo.

Haya na nyie wanawake mnaofikiri kuwa hiyo ni sawa kawaulizeni wenzenu waliokuwa wa nyumbani nyumbani tuu wanaletewa kila kitu,kilichowapata pale waume zao wanapotangulia mbele ya haki ghafla.au kufukuzwa kazi ghafla.

Ni wambie wanawake,ukitaka ndoa yenu iwe tamu tengenezeni maisha ya kutegemeana.maana kila mtu anakuwa anabaki na umuhimu ule ule kwa mwenzake.yaani baba akikwama mama aweze kumkwamua halkadhalika mama akikwama baba aweze kumkwamua.yaani waweze kukwamuana.maanisha ya kumtegemea mwenzako kwa kila kitu ni ya unyonge kabisa.yaani hayana uhuru,yaani kuna vitu utavifanya hata huvipendi ila ni kwa kuhofia kuharibu suport.waaulizeni wenzenu.Mwanamke ogopa sana kama mme wako anaenda kazini halafu wewe anakwambia uendelee tu kulala nitaleta kila kitu,hayo siyo mapenzi amka fanya chochote hata uwe na uwezo kununua hata kiberiti cha familia tuu,kufanya hivyo kutakufanya uanze kuwa na fikra za kujitegemea.

Nieleweke pia siyo kwamba wanaume wakwepe matunzo ya familia zao ila wamama wasijibweteke kiasi wanakuwa ombaomba kwa kila kila kitu.
 
Back
Top Bottom