Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mnataka tukae ndani kama mapicha ya ukutani kweli?? Na uwezo wa kufanya kazi na kuingiza kipato japo kidogo upo..... BIG NO.Mimi naunga mkono gender equity/justice, siamini kama mwanamke ni mtu wa kukaa ndani tu, kama ana uwezo wa kufanya kazi na anataka, kwanini umzuie??
Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!
Na kukaa ndani kwa mwanamke sio kutokufanya kazi ila ni kufanya kazi za familia yake usiku na mchana....Mimi naunga mkono gender equity/justice, siamini kama mwanamke ni mtu wa kukaa ndani tu, kama ana uwezo wa kufanya kazi na anataka, kwanini umzuie??
@mama D upo ndugu yangu?
Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!
Ukimuacha mke huru yaan akafanye kazi, lazima sehemu ya uanaume wako upunguze ili maisha ya ndoa yaende sawa!
Ndoa nyingi zenye migogoro ni za wafanya kazi, kwa nini? Kwa sababu wote wapo level moja.
Kwa wanaofanyakazi na wanapatana ujue kuna mmoja kakubali kuwa lofa!! Kashusha baadhi ya mambo especially mwanaume kuamua kupunguza uanaume wake!!
Mkuu.Mi mwenyewe hapa nakula wima japo mke si mfanyakazi,Ukiyafuata maelekezo haya, utapata mapenzi unayoyataka kutoka kwa mwanamke!!
Ukimuacha mke huru yaan akafanye kazi, lazima sehemu ya uanaume wako upunguze ili maisha ya ndoa yaende sawa!
Ndoa nyingi zenye migogoro ni za wafanya kazi, kwa nini? Kwa sababu wote wapo level moja.
Kwa wanaofanyakazi na wanapatana ujue kuna mmoja kakubali kuwa lofa!! Kashusha baadhi ya mambo especially mwanaume kuamua kupunguza uanaume wake!!
Yuko sahihi kabisa, ukitaka kuiharibu jamii mruhusu mwanamke atoke atoke hovyo kama ilivyo sasa. Mwanamke asili yake ni nyumbani.
Huu ni ujinga katika ubora wake.wanawake ndiyo wafanisi zaidi kwenye sector za maendeleo halafu huyu anatueleza mambo ya kijinga.