Wakufunzi mashetani Elimu ya juu Tanzania

Wakufunzi mashetani Elimu ya juu Tanzania

KALYANKOZILE

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
19
Reaction score
1
Wakufunzi mashetani ni aina ya wakufunzi vyuo vikuu ambao wana mapepo ya ngono,wana elimu ya vyeti tu na wamekuwa wakigawa ufaulu au GPA nzuri kwa wadada ambao huwa tayari kutoa miili yao kuchezewa na mashetani hao mwaka hadi mwaka.Ambapo imefikia kipindi cha kuwabatiza majina ya magari wadada wenye mvuto kiumbo au sura zao.

Kwa mfano utawasikia wakufunzi wa namna hii wakiambiana mara wasikiapo selection ya TCU kuwa Range zimefika bandarini!!!!.Matokeo yake wadada wenye msimamo wamekuwa wakifelishwa mtihani yao pasipo sababu ya msingi,Kusambaza magonjwa hatari hasa UKIMWI makusudi.

Na mbaya zaidi ni pale wakufunzi wa namna hii ambapo wamekuwa wakiungana kupinga malalamishi au tuuma dhidi ya vitendo vyao vya kishetani na wanafunzi wanaodhulika wamekuwa kimya na kutokuwa tayari kutoa maelezo sahii ili kuwasaidia"Wakati maadui zetu wanaungana kutudhuru sisi wanyonge tunatengana".

Tunaposema "Graduate with A's and not Aids" wengine wanabakia kusema "Graduate with A's and Aids".Wadau wa elimu tufanye nini kutatua ufisadi huu wa ngono???????
 
Umeandika kwa hasira na jazba sana; umeandika bila hata aya. Pole sana....
Ili kupunguza au kukomesha nidhamu mbaya, vyuo vinapaswa kuwa na mfumo wa kudhibiti nidhamu za wafanyakazi wake (hususani Wakufunzi).
Naamini kabisa wakuu wa Idara wakilikomalia hili, pia, HR na uongozi wa juu unapaswa kuweka sheria za adhabu na miongozo sahihi inayotekelezeka. Ukosefu wa maadili kwa watumishi wa vyuo ni sehemu ya ishara kubwa ya ukosefu wa maadili katika taifa.
 
Vyuo vya elimu ya juu vinapaswa kufundishwa na walimu
 
Tafadhali mleta mada nikujuze tu kuwa vyuo vya elimu ya juu hasa vyuo vikuu kama ulivyosema, havina WAKUFUNZI (Trainers) vina WAHADHIRI (lecturers)!
 
Katika kutoa point zako, ni vema ukawa more specific na usipende kuongea kwa ujumla. Toa mifano hata kwa kutaja chuo/kitivo au hata lecturer ambaye wewe unamfahamu kuwa anajihusisha na masuala hayo. Kwa jinsi ulivyoandika ni vigumu hata kwa yule ambaye anahusika kuweza kufuatilia na kutatua tatizo kama hili.
 
:angry:...hili suala hata udom lipo kwani kuna baadhi ya ma-lecturer wanawabambikia mabinti sup eti kisa wamewakataa...mmoja wao imemtokea puani baada ya kuwekewa mtego.
 
Mfano ni rafiki yangu aliepo chuo kikuu kama totorial assistant tokea 2002 amesomeshwa mastaz palepale walipompa nafasi ya kwenda kusoma nje pHd amegoma eti atakosa wanawake wazuri wa chuo kikuu UD kwa hiyo hataki anataka kusoma phd palepale.Kuoa ndo hataki kusikia kabisa maana anasema anajua K ya kila aina kwa hiyo hana haja ya kuoa maana kila akitaka anapata tena mwanamke yeyote mzuri anaemtaka yeye sasa ananadai eti kwa nini aoe wakati hata sasa hivi tena weekend yupo na msichana mbichi nyumbani kwake.tunaotaka kuwowa wasomi tujikague tuchukue vipimo sehemu tatu tofauti maana wasomi wetu sasa wameharibika sana
 
Kiukweli tunahitaji kuwa na sehemu maalum ya kutoa maelekezo kwa wote wanaokuwa wahadhiri wa vyou vyaelimu ya juu nchini. Kituo hiki kitakuwa kinatoa mafunzo ya muda mfupi(miezi miwili/mitatu) ya namna ya:
  1. Kufundisha mbele ya wanafunzi( How to deliver material). Wengi wetu tumeshuhudia eti tu kwa sababu mtu ana first class anakuwa mhadhiri. Mara nyingine huyu mtu alikuwa mtu wa kumeza(kukariri) ndo mana kapata hiyo GPA kwa hiyo hata 'kupresent' hawezi. Anapewa kipindi cha dakika tisini ndani ya dakika 30 hana tena cha kuzungumza. Anapotoa mtihani anajua kile alichotoa kwenye kitini ndio jibu sahihi wakati swali ni 'multi - dimension'. Hivyo watafundishwa kuondoka katika zile fikra za uanafunzi mpaka fikra za ki-uhadhiri.
  2. Kuwa na maadili ya ualimu ama uelekezaji. Suala la walimu kuwa na uhusiano na wanafunzi lipo ila mtu anapofundisha maadili ya uhadhiri anaweza kuondoa hilo tatizo. Kwa sasa suala la ngono limekuwa kama kawaida na wanajulikana ambao wan uhusiano nao. Imefikia hatua kwamba tunajua "Caroline" atatuletea pepa ya UE kwani yupo na 'lecturer' Massawe
Kuwapo kwa HIGH LEARNING INCUBATOR kutasaidia kukuza elimu yetu ya Tanzania ambayo kiukweli tunasubiri 'layer' fulani ya watu waondoke ili turekebishe...
 
Wakufunzi mashetani ni aina ya wakufunzi vyuo vikuu ambao wana mapepo ya ngono,wana elimu ya vyeti tu na wamekuwa wakigawa ufaulu au GPA nzuri kwa wadada ambao huwa tayari kutoa miili yao kuchezewa na mashetani hao mwaka hadi mwaka.Ambapo imefikia kipindi cha kuwabatiza majina ya magari wadada wenye mvuto kiumbo au sura zao.Kwa mfano utawasikia wakufunzi wa namna hii wakiambiana mara wasikiapo selection ya TCU kuwa Range zimefika bandarini!!!!.Matokeo yake wadada wenye msimamo wamekuwa wakifelishwa mtihani yao pasipo sababu ya msingi,Kusambaza magonjwa hatari hasa UKIMWI makusudi.Na mbaya zaidi ni pale wakufunzi wa namna hii ambapo wamekuwa wakiungana kupinga malalamishi au tuuma dhidi ya vitendo vyao vya kishetani na wanafunzi wanaodhulika wamekuwa kimya na kutokuwa tayari kutoa maelezo sahii ili kuwasaidia"Wakati maadui zetu wanaungana kutudhuru sisi wanyonge tunatengana".Tunaposema "Graduate with A's and not Aids" wengine wanabakia kusema "Graduate with A's and Aids".Wadau wa elimu tufanye nini kutatua ufisadi huu wa ngono???????

Daah imekuudhi sana maana umekuwa mkali na lugha kali sana
 
Samahani kama nimekukwaza ila ni kutokana na kwamba mimi nimeshuhudia laivu vitendo kama hivyo kwa mfano mmoja wa wahadhiri wa namna hiyo amefikia hatua ya kuomba wadada wake(wapenzi) kutoka kwa mhadhiri mwingine aliyepangiwa kuwasimamia katika kufanya utafiti mwenyewe na amefanikiwa kufanya hivyo na kuwazadia A's lakini kwa wengine ambao hawakuwa na mahusiano naye wameambulia masalia na walikupowa wanapiga simu kwake kupata msaada pindi walipokuwa wanakwama amekuwa hapokei na wakikutana naye anawapa promice zisizotekelezeka.Na unaponiambia kuweka sheria ni kama vile unanitonesha kidonda kwani sheria za namna hiyo zipo kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu lakini swali linakuja nani???anazisimamia.............
 
Enzi ya teknolojia hii wekeni ushahidi hapa.

Ama sivyo mtakuwa hamuwatendei haki wasiohusika.
 
Mh! Usiwe na bifu na wakufunzi kihivyo. yawezekana unawasingizia. naamini wahadhiri hawamo kwenye hili kundi uliloita mashetani...ok?
 
Mfano ni rafiki yangu aliepo chuo kikuu kama totorial assistant tokea 2002 amesomeshwa mastaz palepale walipompa nafasi ya kwenda kusoma nje pHd amegoma eti atakosa wanawake wazuri wa chuo kikuu UD kwa hiyo hataki anataka kusoma phd palepale.Kuoa ndo hataki kusikia kabisa maana anasema anajua K ya kila aina kwa hiyo hana haja ya kuoa maana kila akitaka anapata tena mwanamke yeyote mzuri anaemtaka yeye sasa ananadai eti kwa nini aoe wakati hata sasa hivi tena weekend yupo na msichana mbichi nyumbani kwake.tunaotaka kuwowa wasomi tujikague tuchukue vipimo sehemu tatu tofauti maana wasomi wetu sasa wameharibika sana
:smokin::smokin::smokin:....huo urafiki wenu wa kinafiki!!umeshindwa kumuambia huko unakuja kuanika uongo wako huku!!!huyo totorial ...wako umemsingizia!!
 
:smokin::smokin::smokin:....huo urafiki wenu wa kinafiki!!umeshindwa kumuambia huko unakuja kuanika uongo wako huku!!!huyo totorial ...wako umemsingizia!!

Uongo wa nini sasa hapa wakati ni ukweli mtupu,mbona mapovu yanakutoka mkuu ni wewe nikuweke hadharani nini.Remember I have nothing at all to lose
 
Uongo wa nini sasa hapa wakati ni ukweli mtupu,mbona mapovu yanakutoka mkuu ni wewe nikuweke hadharani nini.Remember I have nothing at all to lose
niweke hadharani mkuu!!ndo huo urafiki ...eti you have nothing at all to lose!!marafiki wa siku hizi hovyo kabisa,badala ya kukaa na rafiki yako unaleta uongo huku!!
 
Back
Top Bottom