KALYANKOZILE
Member
- Apr 24, 2013
- 19
- 1
Wakufunzi mashetani ni aina ya wakufunzi vyuo vikuu ambao wana mapepo ya ngono,wana elimu ya vyeti tu na wamekuwa wakigawa ufaulu au GPA nzuri kwa wadada ambao huwa tayari kutoa miili yao kuchezewa na mashetani hao mwaka hadi mwaka.Ambapo imefikia kipindi cha kuwabatiza majina ya magari wadada wenye mvuto kiumbo au sura zao.
Kwa mfano utawasikia wakufunzi wa namna hii wakiambiana mara wasikiapo selection ya TCU kuwa Range zimefika bandarini!!!!.Matokeo yake wadada wenye msimamo wamekuwa wakifelishwa mtihani yao pasipo sababu ya msingi,Kusambaza magonjwa hatari hasa UKIMWI makusudi.
Na mbaya zaidi ni pale wakufunzi wa namna hii ambapo wamekuwa wakiungana kupinga malalamishi au tuuma dhidi ya vitendo vyao vya kishetani na wanafunzi wanaodhulika wamekuwa kimya na kutokuwa tayari kutoa maelezo sahii ili kuwasaidia"Wakati maadui zetu wanaungana kutudhuru sisi wanyonge tunatengana".
Tunaposema "Graduate with A's and not Aids" wengine wanabakia kusema "Graduate with A's and Aids".Wadau wa elimu tufanye nini kutatua ufisadi huu wa ngono???????