Wakulima bila kuwa na chama chenye Veto Tanzania, mtanyanyasika sana na watu wanaoshinda Twitter huko mjini

Mbona kelele zimekuwa nyingi? Nyinyi si mkauze mazao yenu nje ya nchi kama alivyo ruhusu Waziri wenu Bashe, ili mpate faida kubwa!

Iacheni serikali iruhusu chakula kiingie nchini ili sisi ambao siyo wakulima tuweze kununua kwa bei yenye uhalisia! Hamuwezi kutuuzia kilo ya mchele kwa 3800, halafu tuwachekee tu. Kila mtu ashinde mechi zake.
Sawa tupo hapa ,msije kusingizia Ukraine tena
 
Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.

Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.

Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.

Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..

Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.

Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.

Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..

Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Wakitaka kuaungana kuanzisha chama cha wakulima chenye nguvu, serikali itapandikiza watu wao.
Rejea vyama vya wafanyakazi, waalimu, na hata jumuiya za kidini kama Bakwata.

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Wakulima wa wapi? Wakulima ndio wako Twitter huko? Au jf?

Mkuu unazungumzia wakulima au watu wanaoishi mashambani? Maana mkulima kwa maana ya mkulima anaweza kuingia kwenye mitandao.

Watu wanaoishi mashambani wengi sio wakulima, bali wanalima kwa shingo upande maana hawana njia mbadala ya kuendesha maisha.

Huwezi sema mtu anayeishi kijijini analima heka tano na kupata gunia 40 ni mkulima wakati ana familia ya watu 10, hicho ni chakula tu sio zaidi ya hapo.
 
Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.

Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.

Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.

Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..

Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.

Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.

Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..

Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
NB: Ndugu CHOICE VARIABLE anapoongelea wakulima anamaanisha wale MADALALI wanaonunua vyakula Kwa Bei chini Kutoka Kwa MKULIMA.

Korosho Kwa mfano, MKULIMA ameuza kwenye vyama vya ushirika Kwa Bei Gani?

Mtaani pakt ndogo ya korosho size ya pakt inayofungwa karanga inauzwa 2000.

Bei ya pamba MKULIMA anauza Bei ya kutupa.

Acheni udalali muende shamba si kulimia kwenye keyboard.
 
Rais Samia anajibu HOJA za Tundu Antipas Lissu Kwa vitendo,

MKULIMA saiz analima Hana chakula anaenda kukinunua Kwa madalali,

Watu Kwa maelfu hawana chakula sababu ya Bei kuwa juu,

Ngano Kwa mfano, wakulima hawana uwezo kutosheleza soko la ndani,

Tuagize Hadi hapo tutakapozalisha chakula Cha kutosha.

Ila ubora tu uzingatiwe wa vyakula hivyo.
 
Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.

Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.

Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.

Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..

Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.

Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.

Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..

Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Hapa leo naona mchele umekugusa ndio maana umeshusha nondo za kufa mtu kwa kuwatetea wakulima 🤣🤣 lakini siku nilipozungumzia watu wa Ngomboroni Ikwiriri kuambiwa wahame wayaache makazi yao na mashamba yao ukajibu haraka sana kwamba Hameni tu mnaharibu misitu na vyanzo vya maji 🤣🤣 ukasahau Mto Ruaha wote unachepushwa na familia 12 tu zenye influence Nchini. !! Leo ni mchele ! Waswahili wanasemaga kulia kupokezana !
 
Hatuna wakulima nchini, hawa ni waganga njaa.
Mkulima anajua analima nini na atauza wapi.
Hao hao waganga njaa ndio wanaoisaidia Nchi kulisha watu wake ! Just imagine wakulima waamue mwaka huu kila mkulima alime kishamba kidogo tu cha mazao ya chakula kwa ajili ya familia yake tu ! Je Nchi itakalika ??!!
 
HII NCHI SIYO YA WAKULIMA TU.

Ni jukumu la serikali kuwapa nafuu wananchi wote. Mfymuko wa bei umekuwa mkubwa kuliko kipato cha mtanzania wa kawaida. Ni lazima serikali iingilie kati.

Wakulima wasitafute huruma ya kuumiza wengine. Wao waendelee kuuza kwa bei wanatoitaka na kujipangia, lakini serikali ina ulazima wa kuwasaidia wengine wenye kipato kidogo.
Shida hamjui gharama za kulima
 
Hao hao waganga njaa ndio wanaoisaidia Nchi kulisha watu wake ! Just imagine wakulima waamue mwaka huu kila mkulima alime kishamba kidogo tu cha mazao ya chakula kwa ajili ya familia yake tu ! Je Nchi itakalika ??!!
Wafanyabiashara wataziba hilo gap wataagiza nje chakula tena KWA bei ndogo toka kwa walimao kwa mashine
 
Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.

Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.

Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.

Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..

Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.

Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.

Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..

Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Usichokijua ni kwamba shida za wakulima si bei ya mazao pekee bali ni pembejeo...

Yaani pembejeo bei zimebadilika zaidi ya 300% miaka tatu nyuma unadhani hii haiadhiri mkulima??
Serikali iche siasa kwenye pembejeo yaan kununua luxurious bila ushuru kwao ni muhimu kuliko kuondoa ushuru kwenye kilimo
 
Alafu mbona watu wameshikilia bango mchele tu wakat Kuna nafaka nyingi tu muhimu na bei zake zipo juu?
 
Kwa mfumo wa siasa za Kibongo hilo haliwezekani japo ni wazo zuri, CCM ndiyo nchi na hata chama cha aina hiyo kikianzishwa makada wa CCM ndiyo watakuwa viongozi wa chama hicho(figisu zitafanyika ili iwe hivyo) hivyo literally hicho chama kitageuka kuwa ni moja ya jumuia za CCM na interests za mkulima hazitakuwa priority ya hicho chama.
 
Kwanza mm sio mkulima ni mtu kati ambae nanunua mazao kiasi bei ikiwa nzuri mjini tunawalipa vizuri huko shambani kama mwaka Jana msimu wa mavuno mahindi tuliwalipa 60,000 na mpunga 80,000-100,000 ila Kwa Mwendo huu watarajie maumivu maana Mimi nitanunua Kwa bei ndogo na naweka stoo hata miaka 2 Kwa uzoefu Wetu misimu.huwa haifuatani so wataomboleza wao sio mimi.
Hongera kwa strategies kabambe, akili kubwa.
 
Back
Top Bottom