M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Kile cha GMO ambacho wao hawali, bora kushiba au siyo.Wafanyabiashara wataziba hilo gap wataagiza nje chakula tena KWA bei ndogo toka kwa walimao kwa mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile cha GMO ambacho wao hawali, bora kushiba au siyo.Wafanyabiashara wataziba hilo gap wataagiza nje chakula tena KWA bei ndogo toka kwa walimao kwa mashine
Kununua luxurious bila ushuru kwao ni muhimu !! Watu wapo na starehe zao ….. in Bashiru voice !!Usichokijua ni kwamba shida za wakulima si bei ya mazao pekee bali ni pembejeo...
Yaani pembejeo bei zimebadilika zaidi ya 300% miaka tatu nyuma unadhani hii haiadhiri mkulima??
Serikali iche siasa kwenye pembejeo yaan kununua luxurious bila ushuru kwao ni muhimu kuliko kuondoa ushuru kwenye kilimo
Na siku zote mfanyabiashara hawezi kuagiza kilicho bora kwa bei ya juu !!Kile cha GMO ambacho wao hawali, bora kushiba au siyo.
SichoKile cha GMO ambacho wao hawali, bora kushiba au siyo.
Upuuzi mtupu makafri hawaKununua luxurious bila ushuru kwao ni muhimu !! Watu wapo na starehe zao ….. in Bashiru voice !!
Umeona mbali !!Wakitaka kuaungana kuanzisha chama cha wakulima chenye nguvu, serikali itapandikiza watu wao.
Rejea vyama vya wafanyakazi, waalimu, na hata jumuiya za kidini kama Bakwata.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kumbe wewe ni dalali wa mazao?Kwanza mm sio mkulima ni mtu kati ambae nanunua mazao kiasi bei ikiwa nzuri mjini tunawalipa vizuri huko shambani kama mwaka Jana msimu wa mavuno mahindi tuliwalipa 60,000 na mpunga 80,000-100,000 ila Kwa Mwendo huu watarajie maumivu maana Mimi nitanunua Kwa bei ndogo na naweka stoo hata miaka 2 Kwa uzoefu Wetu misimu.huwa haifuatani so wataomboleza wao sio mimi.
Kwa mfumo wa siasa za Kibongo hilo haliwezekani japo ni wazo zuri, CCM ndiyo nchi na hata chama cha aina hiyo kikianzishwa makada wa CCM ndiyo watakuwa viongozi wa chama hicho(figisu zitafanyika ili iwe hivyo) hivyo literally hicho chama kitageuka kuwa ni moja ya jumuia za CCM na interests za mkulima hazitakuwa priority ya hicho chama.
Walanguzi hao pumbafu kabisa wanawahemea sana wakulima.Kumbe wewe ni dalali wa mazao?
Imekula kwako pambaf
Alafu limekomaa eti mkulima anafaidikaWalanguzi hao pumbafu kabisa wanawahemea sana wakulima.
Wala haijala kwangu namshangaa Rais Kwa kukalia kimya upuuzi wa Waziri ambae anataka kufanya biashara Kwa gharama za wakulima.Kumbe wewe ni dalali wa mazao?
Imekula kwako pambaf
Kwa hiyo saizi mkulima atanufaika baada ya kuagizwa wa Nje au siyo? [emoji2957][emoji2957]Walanguzi hao pumbafu kabisa wanawahemea sana wakulima.
Hii imekula kwako kaka. Walanguzi mmepandisha bei za vyakula makusudi na kujipatia faida kubwa huku seriakali ikilaumiwa. Kama nyie wenye hela mmeruhusiwa kuuza nje acheni wenye hela wenzenu waingize ndani.Wakulima wa wapi? Wakulima ndio wako Twitter huko? Au jf?
Hakuna mkulima hapo kaka ni Bashe na walanguzi wenzake wa mazao wanajaribu kumblackmail mama ili afunge mipaka chakula kisiingie waendelee kuumiza wananchi.Hii nchi ngumu sana. Wakulima mlitukana watu kuwa "kama bei iko juu kalimeni nyie".
Leo gia imebadilikia angani mnaanza kulaumu serikali kwa kujaribu kutatua tatizo la bei.
Ngoja tuone, ni suala la muda.
Kwa hiyo kunachokupigisha kelele hapa ni kuvurugiwa soko lako la wizi? kama mpunga ulinunua 80000 ni kipi umeongeza kwenye mpunga ambao ulikuwa store tu hadi gunia uuze 210000?Kwanza mm sio mkulima ni mtu kati ambae nanunua mazao kiasi bei ikiwa nzuri mjini tunawalipa vizuri huko shambani kama mwaka Jana msimu wa mavuno mahindi tuliwalipa 60,000 na mpunga 80,000-100,000 ila Kwa Mwendo huu watarajie maumivu maana Mimi nitanunua Kwa bei ndogo na naweka stoo hata miaka 2 Kwa uzoefu Wetu misimu.huwa haifuatani so wataomboleza wao sio mimi.
Acha wizi imekula kwako safari hii.Hao ni wachache sana,wengi Wana akiba.
Sasa kama anategemea Kilimo kukidhi mahitaji kikakutana na bei mbaya kabisa itakuaje Sasa kwenye hayo mambo mengine? Utampa kibalua kulima heka Kwa 15,000 Kwa sababu Sokoni pesa ni ndogo
Wewe ndio mpumbavu!Wala haijala kwangu namshangaa Rais Kwa kukalia kimya upuuzi wa Waziri ambae anataka kufanya biashara Kwa gharama za wakulima.
Mawaziri kama Kijaji Mwendazake aliwatumbua,Fedha za kigeni zinapungua Tanzania chakula kipo afu mpumbavu mmja anatoa kibali kuagiza chakula ambacho kipo.
Msimu wa mvua haukunyesha vizuri, mavuno hafifu.Hii ndio status yenu
Wanaowatetea wanapigwa vita ila msipoungana kuwapa Nguvu mtaishia kuwa mafukara
View attachment 2518905