ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Sawa tupo hapa ,msije kusingizia Ukraine tenaMbona kelele zimekuwa nyingi? Nyinyi si mkauze mazao yenu nje ya nchi kama alivyo ruhusu Waziri wenu Bashe, ili mpate faida kubwa!
Iacheni serikali iruhusu chakula kiingie nchini ili sisi ambao siyo wakulima tuweze kununua kwa bei yenye uhalisia! Hamuwezi kutuuzia kilo ya mchele kwa 3800, halafu tuwachekee tu. Kila mtu ashinde mechi zake.
Wakitaka kuaungana kuanzisha chama cha wakulima chenye nguvu, serikali itapandikiza watu wao.Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.
Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.
Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.
Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..
Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.
Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.
Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..
Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Wakulima wa wapi? Wakulima ndio wako Twitter huko? Au jf?
mmebakia kupinga kila kitu matahira nyieUtakula mwenyewe na umezalisha Vingi? Una pa kutunzia? Utakula utamaluza? Vitaoza na next msimu utazidi kuwa maskini
NB: Ndugu CHOICE VARIABLE anapoongelea wakulima anamaanisha wale MADALALI wanaonunua vyakula Kwa Bei chini Kutoka Kwa MKULIMA.Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.
Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.
Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.
Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..
Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.
Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.
Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..
Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Hapa leo naona mchele umekugusa ndio maana umeshusha nondo za kufa mtu kwa kuwatetea wakulima 🤣🤣 lakini siku nilipozungumzia watu wa Ngomboroni Ikwiriri kuambiwa wahame wayaache makazi yao na mashamba yao ukajibu haraka sana kwamba Hameni tu mnaharibu misitu na vyanzo vya maji 🤣🤣 ukasahau Mto Ruaha wote unachepushwa na familia 12 tu zenye influence Nchini. !! Leo ni mchele ! Waswahili wanasemaga kulia kupokezana !Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.
Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.
Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.
Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..
Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.
Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.
Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..
Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Angalia ukishaenda kulima watakuja wengine wakubwa watakuambia unaharibu misitu au vyanzo vya maji ! Hameni mmevamia hifadhi and so on and so forth ! Nchi ngumu hii !Nimeamini msemo, "Kama huna kazi kalime."
Hao hao waganga njaa ndio wanaoisaidia Nchi kulisha watu wake ! Just imagine wakulima waamue mwaka huu kila mkulima alime kishamba kidogo tu cha mazao ya chakula kwa ajili ya familia yake tu ! Je Nchi itakalika ??!!Hatuna wakulima nchini, hawa ni waganga njaa.
Mkulima anajua analima nini na atauza wapi.
Shida hamjui gharama za kulimaHII NCHI SIYO YA WAKULIMA TU.
Ni jukumu la serikali kuwapa nafuu wananchi wote. Mfymuko wa bei umekuwa mkubwa kuliko kipato cha mtanzania wa kawaida. Ni lazima serikali iingilie kati.
Wakulima wasitafute huruma ya kuumiza wengine. Wao waendelee kuuza kwa bei wanatoitaka na kujipangia, lakini serikali ina ulazima wa kuwasaidia wengine wenye kipato kidogo.
Wafanyabiashara wataziba hilo gap wataagiza nje chakula tena KWA bei ndogo toka kwa walimao kwa mashineHao hao waganga njaa ndio wanaoisaidia Nchi kulisha watu wake ! Just imagine wakulima waamue mwaka huu kila mkulima alime kishamba kidogo tu cha mazao ya chakula kwa ajili ya familia yake tu ! Je Nchi itakalika ??!!
Usichokijua ni kwamba shida za wakulima si bei ya mazao pekee bali ni pembejeo...Nyie wakulima msipoungana na kuwa na chama Chenye maamuzi ya veto Mtanyanyasika Sana na Wanaoshinda Twitter kusema maisha magumu.
Na Serikali ya ccm isiyojielewa ndio inawasikiliza hao na kuwaacha nyie 70% kwenye umaskini uliotopea.
Haiwezekani Serikali ya ccm inaagiza chakula Nje ya Nchi msimu wa mavuno unaoenda kuanza mwezi wa 4.
Hapo hapo wanasema Vijana waende kwenye Kilimo ila Watoto wao hawawepeleki,bila incentives ya bei hakuna Kilimo..
Najua hao Jamaa wa Serikali watakwambia mwaka huu wao ndio watanunua mazao Ili kuwapooza lakini tunajua ambavyo Huwa na masharti na malingo na kama huna mzigo mkubwa hawanunui.
Sasa Jiandaeni Kisaikolojia bei za shambani zitakuwa 25,000-30,000 mpunga na 15,000-25,000 Kwa mahindi na watazuia mipaka Kwa kuweka vikwazo kibao.
Nawakumbusha tuu ndugu wakulima kwamba Kenya wameingiza mazao hasa mahindi kutoka Nje so hakuna soko mwaka huu mtaimba Kila wimbo na watu wa Mjini waliokataa kutoa tozo hamtakaa muwasikie wakiwasaidia..
Way forward undeni chama Chenye Nguvu ambacho kitakuwa kinawapa muelekeo kama mzalishe vyakula vyenu au mzalishe ziada ya biashara vinginevyo Bora kuacha Kilimo mkafanya uchuuzi mjini.
Hongera kwa strategies kabambe, akili kubwa.Kwanza mm sio mkulima ni mtu kati ambae nanunua mazao kiasi bei ikiwa nzuri mjini tunawalipa vizuri huko shambani kama mwaka Jana msimu wa mavuno mahindi tuliwalipa 60,000 na mpunga 80,000-100,000 ila Kwa Mwendo huu watarajie maumivu maana Mimi nitanunua Kwa bei ndogo na naweka stoo hata miaka 2 Kwa uzoefu Wetu misimu.huwa haifuatani so wataomboleza wao sio mimi.