Wakulima bila kuwa na chama chenye Veto Tanzania, mtanyanyasika sana na watu wanaoshinda Twitter huko mjini

Kununua luxurious bila ushuru kwao ni muhimu !! Watu wapo na starehe zao ….. in Bashiru voice !!
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

 
Kumbe wewe ni dalali wa mazao?

Imekula kwako pambaf
 

Kama ilivyo,TAHILSO,BAKWATA,CWT n.k zote hizo ni matawi ya ccm,ccm imeharibu nchi na kuua sauti za wananchi.
 
Kumbe wewe ni dalali wa mazao?

Imekula kwako pambaf
Wala haijala kwangu namshangaa Rais Kwa kukalia kimya upuuzi wa Waziri ambae anataka kufanya biashara Kwa gharama za wakulima.

Mawaziri kama Kijaji Mwendazake aliwatumbua,Fedha za kigeni zinapungua Tanzania chakula kipo afu mpumbavu mmja anatoa kibali kuagiza chakula ambacho kipo.
 
Wakulima wa wapi? Wakulima ndio wako Twitter huko? Au jf?
Hii imekula kwako kaka. Walanguzi mmepandisha bei za vyakula makusudi na kujipatia faida kubwa huku seriakali ikilaumiwa. Kama nyie wenye hela mmeruhusiwa kuuza nje acheni wenye hela wenzenu waingize ndani.
 
Hii nchi ngumu sana. Wakulima mlitukana watu kuwa "kama bei iko juu kalimeni nyie".

Leo gia imebadilikia angani mnaanza kulaumu serikali kwa kujaribu kutatua tatizo la bei.


Ngoja tuone, ni suala la muda.
Hakuna mkulima hapo kaka ni Bashe na walanguzi wenzake wa mazao wanajaribu kumblackmail mama ili afunge mipaka chakula kisiingie waendelee kuumiza wananchi.
 
Kwa hiyo kunachokupigisha kelele hapa ni kuvurugiwa soko lako la wizi? kama mpunga ulinunua 80000 ni kipi umeongeza kwenye mpunga ambao ulikuwa store tu hadi gunia uuze 210000?
 
Hao ni wachache sana,wengi Wana akiba.

Sasa kama anategemea Kilimo kukidhi mahitaji kikakutana na bei mbaya kabisa itakuaje Sasa kwenye hayo mambo mengine? Utampa kibalua kulima heka Kwa 15,000 Kwa sababu Sokoni pesa ni ndogo
Acha wizi imekula kwako safari hii.
 
Wewe ndio mpumbavu!

Nyie wapumbavu mkishirikiana na Bashe mmemdanganya mama eti afungulie nchi muuze mazao nje ya nchi matokeo yake nchi imekauka haina chakula sasa rais kashituka wananchi wanalia kaona bora aagize chakula nje!

Yani nyie madalali mmefanya chakula kifike bei ya hali ya juu sana haijawahi kutokea tangu uhuru, alafu mnajisifu eti mkulima anafaidi jasho lake, jasho lipi?

Hivi mnaelewa kama wanaoumia na huu mlipuko wa bei ni hao hao wakulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…