Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mchele kutoka nje wala automkomoa yeyote sana sana utapunguza gharama za maisha kwa wananchi,anayemudu mchele supa wa mbeya anunue na wale wenzangu na mimi tutakimbilia kwenye huo kitumbo kg buku ili mradi tujaze tumboAcha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?
Mkuu hapa nakuelewa na naungana na wewe.Sio wewe uliyeongelea soko huria hapo juu ? Haya mambo mtu inabidi kuyaangalia kwa ujumla wake na sio kwa mafungu inabidi ufanye upembuzi yakinifu na weigh out pros and cons...., na wakati unafanya hivyo ugundue kwamba chakula ni basic need na wakati wote bei lazima iwe rafiki..., na bila kusahau wakati unafikiri hayo kumbuka kwamba Ushauri wa Adam Smith....
“It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy.”
Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaikaMkuu hapa nakuelewa na naungana na wewe.
Kwani agenda mnayoitaka kwa sasa sio kumtaka Samia azuie export ya mazao au?Habari ndugu wakulima wenzangu..
Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.
Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei imeshuka kutoka Tsh 130,000 Kwa gunia la kilo 100 Hadi Tsh.80,000.Ikumbukwe Kenya ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania..
Hii imetokana na sera ya Ruto ya kuingiza mahindi ya GMO kutoka Nje ya Nchi tena bila ushuru wowote.
Aidha Msimu huu mvua zimekubali maeneo mengi ya Nchi plus mbolea ya ruzuku so mazao yatakuwa mengi sana na hivyo yatakutana na hali mbaya ya bei.
Ambae anauwezo ni kuandaa stoo vinginevyo msimu wa mavuno usije shangaa gunia kuuzwa 30,000 na wateja hakuna,maana wafanyabiashara wengi watakimbilia kwenye mchele/mpunga ambao naona bei zitashuka ila Kwa kiasi kidogo.
Nitoe wito Kwa serikali Kupitia bodi ya mazao Mchanganyiko PBZ na wakala wa Hifadhi wa Chakula NFRA chini ya Wizara ya Kilimo kutenga Bajeti ya kutosha Ili kuja kununua mazao Kwa mkulima Ili Kuokoa uzalishaji msimu utakaofuata maana mfanyabiashara hawezi nunua wakati hakuna soko.
Pia Serikali iangalie uwezekano wa kutafuta Soko Ethiopia,Sudan Kusini na Somalia Moja kwa Moja badala ya kutegemea Kenya pekee.
Unga drops: Maize prices decline by over KSh 1000 per 90kg bag
Kenyan consumers can breathe a sigh of relief following a drop in maize prices by over KSh 1,000 for a 90kg bag. Millers have filled their stores in North Rift.www.tuko.co.ke
Nani anataka azuie exports ya mazao? Nyie ambae sio wakulima ndio mnataka hivyo ila sisi wakulima hapanaKwani agenda mnayoitaka kwa sasa sio kumtaka Samia azuie export ya mazao au?
Wananchi wa wapi? Asilimia 65% ya watu ni wakulima Sasa uwaletee mshindani hapo unapunguza umaskini au kuongeza?Mchele kutoka wala automkomoa yeyote sana sana utapunguza gharama za maisha kwa wananchi,anayemudu mchele supa wa mbeya anunue na wale wenzangu na mimi tutakimbilia kwenye huo kitumbo kg buku ili mradi tujaze tumbo
Mkuu umesahau kuna mada ililetwa hapa watu wanataka Serikali izuie uuzaji wa mazao nje nchi?Nani anataka azuie exports ya mazao? Nyie ambae sio wakulima ndio mnataka hivyo ila sisi wakulima hapana
Anajifanya mjuaji sana na anajua kila kitu.Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaika
Mfano kwa mwezi huu wa pili hakuna mkulima mwenye mazao ni madalali/mabwanyenye ndo wanamazao na ndo wanufaika wakubwa wa huu mfumuko wa bei
Hao ni wapuuzi achana naoMkuu umesahau kuna mada ililetwa hapa watu wanataka Serikali izuie uuzaji wa mazao nje nchi?
Si wakulimaHao ni wapuuzi achana nao
Ni vyema tukaanza kuangalia nchi zingine za EA. Congo, SS, nk nk.
Wabinafsi ni nyie mapoyoyo wa mjini mnaotaka kunufaika Kwa jasho la mkulima.Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaika
Mfano kwa mwezi huu wa pili hakuna mkulima mwenye mazao ni madalali/mabwanyenye ndo wanamazao na ndo wanufaika wakubwa wa huu mfumuko wa bei
Unaielewa vizuri tasnia na haujakurupuka, hongera, ila sababu zako hazitoshi kushawishi. Tujipe muda zaidiHabari ndugu wakulima wenzangu..
Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.
Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei imeshuka kutoka Tsh 130,000 Kwa gunia la kilo 100 Hadi Tsh.80,000.Ikumbukwe Kenya ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania..
Hii imetokana na sera ya Ruto ya kuingiza mahindi ya GMO kutoka Nje ya Nchi tena bila ushuru wowote.
Aidha Msimu huu mvua zimekubali maeneo mengi ya Nchi plus mbolea ya ruzuku so mazao yatakuwa mengi sana na hivyo yatakutana na hali mbaya ya bei.
Ambae anauwezo ni kuandaa stoo vinginevyo msimu wa mavuno usije shangaa gunia kuuzwa 30,000 na wateja hakuna,maana wafanyabiashara wengi watakimbilia kwenye mchele/mpunga ambao naona bei zitashuka ila Kwa kiasi kidogo.
Nitoe wito Kwa serikali Kupitia bodi ya mazao Mchanganyiko PBZ na wakala wa Hifadhi wa Chakula NFRA chini ya Wizara ya Kilimo kutenga Bajeti ya kutosha Ili kuja kununua mazao Kwa mkulima Ili Kuokoa uzalishaji msimu utakaofuata maana mfanyabiashara hawezi nunua wakati hakuna soko.
Pia Serikali iangalie uwezekano wa kutafuta Soko Ethiopia,Sudan Kusini na Somalia Moja kwa Moja badala ya kutegemea Kenya pekee.
Unga drops: Maize prices decline by over KSh 1000 per 90kg bag
Kenyan consumers can breathe a sigh of relief following a drop in maize prices by over KSh 1,000 for a 90kg bag. Millers have filled their stores in North Rift.www.tuko.co.ke
Mbeya kwa sasa debe la viazi mviringo limeshuka kutoka tshs15000/14000 mpaka 10000/9000=bAada ya mwez wa kwanza mahindi kushuka huku kwetu mwanza,mwez huu wa pili yamepanda tena kwa speed ya 5G
Nasema hivi huo ni uongo gharama za chakula zitaendelea kupaa tu
Kwa nini iwe sawa kumlinda mkulima, lakini isiwe sawa kumlinda mlaji?Nani anataka azuie exports ya mazao? Nyie ambae sio wakulima ndio mnataka hivyo ila sisi wakulima hapana
Wakulima yaani peasants ni 70% vs 30% ya nyie walafi wa Sokoni, wewe utachagua Kulinda yupi?Kwa nini iwe sawa kumlinda mkulima, lakini isiwe sawa kumlinda mlaji?
Kama unasema mkulima amelima mazao yake na anayo haki ya kumuuzia yeyote anaemtaka iwe ndani au nje, kwa nini mlaji asiwe na haki ya kununua kwa yeyote anaemtaka iwe hapa ndani au nje?
Haiwezekani tuu kumlinda mkulima kwa kumuumiza mpaji, nafikiri lazima kuwe na balance katika hili
Mzeee huwa sijui upo upand gani ,kwemy hoja zako Kuna wakt unawapambania wakulima Kuna wakt unawazagia kunguni Kama leo hi kuwatisha dhid ya BeiAcha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?