Wakulima Jiandaeni Kisaikolojia na Kuporomoka Kwa Bei ya Mahindi Mwaka huu 2023, Kenya Gunia la Mahindi Imeshuka hadi Tsh. 80,000

Sio wewe uliyeongelea soko huria hapo juu ? Haya mambo mtu inabidi kuyaangalia kwa ujumla wake na sio kwa mafungu inabidi ufanye upembuzi yakinifu na weigh out pros and cons...., na wakati unafanya hivyo ugundue kwamba chakula ni basic need na wakati wote bei lazima iwe rafiki..., na bila kusahau wakati unafikiri hayo kumbuka kwamba Ushauri wa Adam Smith....

It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy.”
Mkuu hapa nakuelewa na naungana na wewe.
 
Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaika

Mfano kwa mwezi huu wa pili hakuna mkulima mwenye mazao ni madalali/mabwanyenye ndo wanamazao na ndo wanufaika wakubwa wa huu mfumuko wa bei
 
Habari ndugu wakulima wenzangu..

Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.

Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei imeshuka kutoka Tsh 130,000 Kwa gunia la kilo 100 Hadi Tsh.80,000.Ikumbukwe Kenya ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania..

Hii imetokana na sera ya Ruto ya kuingiza mahindi ya GMO kutoka Nje ya Nchi tena bila ushuru wowote.

Aidha Msimu huu mvua zimekubali maeneo mengi ya Nchi plus mbolea ya ruzuku so mazao yatakuwa mengi sana na hivyo yatakutana na hali mbaya ya bei.

Ambae anauwezo ni kuandaa stoo vinginevyo msimu wa mavuno usije shangaa gunia kuuzwa 30,000 na wateja hakuna,maana wafanyabiashara wengi watakimbilia kwenye mchele/mpunga ambao naona bei zitashuka ila Kwa kiasi kidogo.

Nitoe wito Kwa serikali Kupitia bodi ya mazao Mchanganyiko PBZ na wakala wa Hifadhi wa Chakula NFRA chini ya Wizara ya Kilimo kutenga Bajeti ya kutosha Ili kuja kununua mazao Kwa mkulima Ili Kuokoa uzalishaji msimu utakaofuata maana mfanyabiashara hawezi nunua wakati hakuna soko.

Pia Serikali iangalie uwezekano wa kutafuta Soko Ethiopia,Sudan Kusini na Somalia Moja kwa Moja badala ya kutegemea Kenya pekee.

Kwani agenda mnayoitaka kwa sasa sio kumtaka Samia azuie export ya mazao au?
 
Mchele kutoka wala automkomoa yeyote sana sana utapunguza gharama za maisha kwa wananchi,anayemudu mchele supa wa mbeya anunue na wale wenzangu na mimi tutakimbilia kwenye huo kitumbo kg buku ili mradi tujaze tumbo
Wananchi wa wapi? Asilimia 65% ya watu ni wakulima Sasa uwaletee mshindani hapo unapunguza umaskini au kuongeza?
 
Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaika

Mfano kwa mwezi huu wa pili hakuna mkulima mwenye mazao ni madalali/mabwanyenye ndo wanamazao na ndo wanufaika wakubwa wa huu mfumuko wa bei
Anajifanya mjuaji sana na anajua kila kitu.
 
Mleta uzi ni mbinafsi anataka bei iendelee kupanda huku wananchi wakitaabika alafu kikundi cha madalali wachache wakiendelea kunufaika

Mfano kwa mwezi huu wa pili hakuna mkulima mwenye mazao ni madalali/mabwanyenye ndo wanamazao na ndo wanufaika wakubwa wa huu mfumuko wa bei
Wabinafsi ni nyie mapoyoyo wa mjini mnaotaka kunufaika Kwa jasho la mkulima.

Yaani watu 30% mnufaike Kwa kuwanyonya 70%,hii chini ya Samia haitokaa itokee..

Kwanza nyie wapuuzi ndio mlikataa kutoa tozo za miamala Ili serikali iboreshe Huduma za Afya Vijijini na Barabara..

Good enough wapiga kura wako Vijijini wanalima nyie wa Mjini endeleeni kurundikana kwenye Mikutano ya Chadema watawapa msosi.
 
Habari ndugu wakulima wenzangu..

Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.

Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei imeshuka kutoka Tsh 130,000 Kwa gunia la kilo 100 Hadi Tsh.80,000.Ikumbukwe Kenya ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania..

Hii imetokana na sera ya Ruto ya kuingiza mahindi ya GMO kutoka Nje ya Nchi tena bila ushuru wowote.

Aidha Msimu huu mvua zimekubali maeneo mengi ya Nchi plus mbolea ya ruzuku so mazao yatakuwa mengi sana na hivyo yatakutana na hali mbaya ya bei.

Ambae anauwezo ni kuandaa stoo vinginevyo msimu wa mavuno usije shangaa gunia kuuzwa 30,000 na wateja hakuna,maana wafanyabiashara wengi watakimbilia kwenye mchele/mpunga ambao naona bei zitashuka ila Kwa kiasi kidogo.

Nitoe wito Kwa serikali Kupitia bodi ya mazao Mchanganyiko PBZ na wakala wa Hifadhi wa Chakula NFRA chini ya Wizara ya Kilimo kutenga Bajeti ya kutosha Ili kuja kununua mazao Kwa mkulima Ili Kuokoa uzalishaji msimu utakaofuata maana mfanyabiashara hawezi nunua wakati hakuna soko.

Pia Serikali iangalie uwezekano wa kutafuta Soko Ethiopia,Sudan Kusini na Somalia Moja kwa Moja badala ya kutegemea Kenya pekee.

Unaielewa vizuri tasnia na haujakurupuka, hongera, ila sababu zako hazitoshi kushawishi. Tujipe muda zaidi
 
bAada ya mwez wa kwanza mahindi kushuka huku kwetu mwanza,mwez huu wa pili yamepanda tena kwa speed ya 5G

Nasema hivi huo ni uongo gharama za chakula zitaendelea kupaa tu
Mbeya kwa sasa debe la viazi mviringo limeshuka kutoka tshs15000/14000 mpaka 10000/9000=
 
Nani anataka azuie exports ya mazao? Nyie ambae sio wakulima ndio mnataka hivyo ila sisi wakulima hapana
Kwa nini iwe sawa kumlinda mkulima, lakini isiwe sawa kumlinda mlaji?

Kama unasema mkulima amelima mazao yake na anayo haki ya kumuuzia yeyote anaemtaka iwe ndani au nje, kwa nini mlaji asiwe na haki ya kununua kwa yeyote anaemtaka iwe hapa ndani au nje?

Haiwezekani tuu kumlinda mkulima kwa kumuumiza mpaji, nafikiri lazima kuwe na balance katika hili
 
Wakulima yaani peasants ni 70% vs 30% ya nyie walafi wa Sokoni, wewe utachagua Kulinda yupi?

Pili Serikali inalinda wote Kwa kuhakikisha inampunguzia gharama za uzalishaji mkulima Ili bei ziwe himilivu Kwa mlaji.
 
Back
Top Bottom